4Flow Lyrics
4Flow Lyrics by NATTY
Nilikuwa napiga maround
Kwa poke jo niko na a thousand
Navuta matire kwa club na hamu
Sitoki hata muite bouncer
Nataka kadem kaslender
Haga ni ndogo doh nitamwaga
Sofing ka therm chrome jo
Bado niko handas flow ka saba
Morio alikataa defeat
Alipita hii zone shindwa ako missing
Alidhani amenyora kwa kitanda
Lord kumbe ni upini inachange
Leo ni kumoto niite tu ding ding
Dem anasmile nampiga tu dickings
Ju ya mic siwezi kuwa na pressure of course
Bloody just mind your business
Anataka nimtreat ka princess
Stupid bitch nikastick na simen
Naita chopper wanapullup na bleki
Boy ako shocked amejaa tu machilling
Niko na morio alilala nje
Ju dem alianza kupiga madrilling
So far ni mimi na hawa marapper
Wa songa niimbe kamili
Am aim for the killing
Jo niko wicked inabidi meds
Walinishika na intent to supply
Kwani mlinusa hio ndom kwa fence
-- just in case alipewa tatu kwa mgongo
Vile Ig alikuwa anaflex
Rest assured mi hukuja na ndeng'a
Bet ni sure ili pop what's next
Ilikuwa mimi solo na mbogi mtu 8
Na hadi sikujaa
Huku chini nimedunga ma air
Red macho na bado sijaskunk
Nilikuwa na hopes sana
Tulicross -- burn
Huyu morio akibonga ufala
Dummy doesn't know we are here for fun
Nikiwa default mode wanagwaya
Hio keja ya mabati iliguzwa
Buda jo iza jo mi sina ubaya
Kuna dem ako shopping
Hopes ni akuje kejani adandie sapa
Dem amedandia Trust ka chwani wiki moja
Sijui nimuite malaya
Sijui nianze tu na pagans atapanua
Eventually niko na patience
6AM niko wera -- niko na bad intentions
Watch Video
About 4Flow
More NATTY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl