Mwende Lyrics
Mwende Lyrics by NATACHA
Hii beat ni kali mazee
Aaaaaaahhh
Lanomaa
Wamenambiaga
Killa kitu nyie mwaka nyaga
Acha tule bugger
Nendeni tu nyie kwa waganga
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Mwende mchangam (mwende)
Mwende makazini (mwende)
Mwende mpakani (mwende)
Mwende, mwende (mwende)
Mwende kijijini (mwende)
Hata na mjini (mwende)
Mwende mka party (mwende)
Mwende, mwende aaaah
Sometimes, sometimes ni kuelewa
Kila jambo , utafutalo
Hebu weka malengo
Changa karata, hakuna matata
Si twala bataa, msilete utata yeah men
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Mwende mchangam (mwende)
Mwende makazini (mwende)
Mwende mpakani (mwende)
Mwende, mwende (mwende)
Mwende kijijini (mwende)
Hata na mjini (mwende)
Mwende mka party (mwende)
Mwende, mwende (mwende)
Mwende mchangam (mwende)
Mwende makazini (mwende)
Mwende mpakani (mwende)
Mwende, mwende (mwende)
Mwende kijijini (mwende)
Hata na mjini (mwende)
Mwende mka party (mwende)
Mwende, mwende (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Majoo majoo, mnasemaje majoo (mwende)
Watch Video
About Mwende
More NATACHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl