NANDY Mimi ni wa juu (Cover song) cover image

Mimi ni wa juu (Cover song) Lyrics

Mimi ni wa juu (Cover song) Lyrics by NANDY


Juu, juu, juu sana

Kuna wakati wa giza
Mbele sioni najiuliza
Mbona kama hizi shida
Zimekawia kuisha

Katikati ya maswali
Nasikia sauti ndani
Imebeba ujasiri
Ikinitaka nikiri
Nikisema 

Mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu
Juu sana

Mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu
Juu sana

Sitafsiriwi kwa haya
Machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu
Kamusi ndiye Mungu

Haijalishi ni giza
Yeye ni nuru yangu
Nitashishinda hii vita
Na yote yatakwisha

Nitasimama tena
Nitainuka tena
Mimi ni wa juu tu
Mimi ni wa juu tu

Nitasimama tena
Nitainuka tena
Mimi ni wa juu tu
Mimi ni wa juu tu

Mimi ni wa juu(ni wa juu sana)
Mimi ni wa juu(juu zaidi ya mawingu)
Mimi ni wa juu(juu sana)
Juu sana(nimeketishwa juu sana) 

Mimi ni wa juu(kwenye milele tu)
Mimi ni wa juu(nawaza yaliyo juu)
Mimi ni wa juu(juu saana)
Juu sana

Nawaza yaliyo(juu)
Nawaza yaliyo(juu)
Nawaza yaliyo(juu)
Juu, Juu sana 

Nawaza yaliyo(juu)
Nawaza yaliyo(juu)
Nawaza yaliyo(juu)
Juu, Juu sana 

Mimi ni wa juu(ni wa juu sana)
Mimi ni wa juu(haijalishi mazingira haya)
Mimi ni wa juu(haijalishi napitia nini)
Juu sana(yote yatapita)

Mimi ni wa juu(mimi nitashinda tu)
Mimi ni wa juu(kwa juu sana)
Mimi ni wa juu(juu sana)
Juu sana

Sitafsiriwi kwa haya
Machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu
Kamusi ndiye Mungu

Watch Video

About Mimi ni wa juu (Cover song)

Album : Mimi ni wa juu (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 10 , 2019

More NANDY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl