Pesa Lyrics
Pesa Lyrics by NAIBOI
Ah Naiboi ah
Mna mambo kweli
Kwani boss
(Vicky pon dis)
Tega sikio nikwambie aah
Fungua mlango niingie aah
Mambo flani unifanyie aah
Nami pia nijiskie aah
Kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
Hata kama nitakosa ju yako nitakopa
Kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
Hata kama nitakosa ju yako nitakopa
Uhh! niambie niambie
Niambie niambie niambie eeh
Oh niskie niskie
Niskie niskie niskie eeh
Kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
Hata kama nitakosa ju yako nitakopa
Kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
Hata kama nitakosa ju yako nitakopa
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Tega sikio nikwambie aah
Fungua mlango niingie aah
Mambo flani unifanyie aah
Nami pia nijiskie aah
Kama mapenzi ni pesa, sema mapema
Hata kama nitakosa ju yako nitakopa
Kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
Hata kama nitakosa ju yako nitakopa
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Shika kiti nipe dance eeh
Watch Video
About Pesa
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl