Sina Lyrics
Sina Lyrics by MEJA KUNTA
Aaah, ooooh!!
Oyaa, oyaa
Oyaa, oyaa oyaa
Oyaa, oyaa oyaa
Labda nipate nafasi
Niseme nawe kidogo
Mwenzako moyo waenda kasi
Nimekumiss sio kidogo
Labda nipate nafasi
Niseme nawe kidogo
Mwenzako moyo waenda kasi
Nimekumiss sio kidogo
Nikueleze mapenzi
Hivi unajua
Yanaweza kufanya ukalia
Kumbe hupendwi unajisumbua
Ye anaonaa, mama mapenzi
Hivi unajua
Yanaweza kufanya ukalia
Kumbe hupendwi, unajisumbua
Yee anaonaa
Mpenzi nakupenda
Ukiwa mbali mi nateseka
Kumbe mshenzi anadanga
Na ukikata simu anacheka
Jamani aah, aah
Oooh (Oooh), aah!!
Oooh (Oooh), aah!!
Sina sina sina sina sina
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina sina sina sina sina
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Mi najiuliza mengi
Hivi ni nani aniwazaye
Mbona sipendwi
Ama riziki yangu baadae
Mi napata uchizi
Jamani nani anipendaye
Mi sijiwezi
Hivi ni yupi mi niwe naye
Yote sawa nishachoka kuwa roho juu
Usiponipenda utajiju
Ila siwezi lia na wewe tu
Bora nijidangie vibabu babu
Aaah aah... nijidangie vibaby
Sina sina sina sina sina
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Jamani aah, aah
Oooh (Oooh), aah!!
Oooh (Oooh), aah!!
Oh jamani ona mchicha uko nyuma
Umeinuka ivo
Oooh jamani ukienda mbele poa (Poa)
Basi poa poa poa (Poa)
Ukiinuka poa (Poa)
Wanafunzi poa (Poa)
Aaah meja hebu tulia kwanza
Chefuuu!!
Watch Video
About Sina
More MEJA KUNTA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl