Jina Lyrics
...
Jina Lyrics by MEJA KUNTA
Bomboclaaaatt
Shoga angu wewe tu mzuri tatizo jina
Mamacita utapendwa tu siku ukipata jina hmmm
Wewe mzuri sana fanya fanya upate jina
Siniorita utauwa watu siku ukipata jina
Kama shepu umepewa hadi wenzako hawapendi
Sura umepewa tatizo bado hujatrend
Sio kila mwenye hela ukamdhania danga
Wengine mchana masela usiku ndo wanga
Kabla bado haujawa popular nikupe formula
Kuna wauza magari na madalali watu hatari
Usije ukadhani zari la mentali miguu chali
Who are you
You so beautiful
If I don't know you, how can I make you my babe boo

Shoga angu wewe mzuri tuu tatizo jina
Mamacita utapendwa tuu siku ukipata jina
Wewe mzuri sana fanya fanya upate jina
Siniorita utahongwa tuu siku ukipata jina
Oya oya oya oya
Kondegang
Oya oya oya oya
Wasoiso ooh
Oya oya oya oya
Mwanangu Kenny
Kwa akili za wabongo atajua namuongopea
Mastaa wa kibongo kwa uzuri hawatakuingia wengi wabayaa
Mjini nyota nawe nyota huna fanya ufanyavyo shoga angu upate jina
Mbuyu huo mchicha ulikuwa jamaa ukipenya penya na watu watakuona
Mtoto mzuri wengi wanamuitaga mama lao
Watoto wa mjini wanamuandafia kabali yao
Meja Kunta: Who are you
You so beautiful
If I don't know you, how can I make you my babe boo
Harmonize: Who are you? You so beautiful

Watch Video
About Jina
More MEJA KUNTA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl