Pipi by MEJA KUNTA Lyrics

Nami nawapa pipi watoto
Mziki changamoto
Mpaka kufika nilipo
Nahisi kipaji si ujiko

Ee Mola Baba mi nipo
Sina chochote juu yako
Nipe uhai kipato
Nishinde husta za waja wako

Kuna wanaopenda majina na tushanga
Eti ooo Meja amepata amepata raha
Shindano shindo shido poa wanapunga
Mejja wa Mejja kwa Mejja tunasonga

Basi njooni pole pole waja
Sina -- sikuzaliwa Dar
Au unataka kidolee kukaa
Iwe furaha na nijione shujaa...

 

Music Video
About this Song
Album : Pipi ,
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 24 , 2020
More Lyrics By MEJA KUNTA
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics