Baikoko Lyrics
Baikoko Lyrics by MBUZI GANG
London London
Black Market Records
Kaka wai kaka nakata maji, kata
Dawa meza tukunywe turudi, sober
Tunywe tena na tena tuzidi Vasha
Tule leo ya jana sidishi, tena
Baikoko zama hadi koko
Ego koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Booster nani Subaru au Bima
Konyolo nitilie mama pima
Godoro nilalie nikizima
Mi ni Uhuru siwezi eka hazina
Omosh pewa loan toka China
Sitaki stress save namba bila jina
Sakata na doba hii ni massacre
Weka tu kakitu nitakuja hapa asapa
Mbuzi kwenye masafa twafanya venye inafaa
Ujue hii ni gengetone huwezi leta sabotage
Siwezi kula kwako ukininyima kula samosa
Venye umepako usiniblame ni yako makosa
Kaka wai kaka nakata maji, kata
Dawa meza tukunywe turudi, sober
Tunywe tena na tena tuzidi Vasha
Tule leo ya jana sidishi, tena
Baikoko zama hadi koko
Ego koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Wakenya before u shoot your shot washakulenga
Ni danger ni banger cheki washakujenga
Wahenga whatever taja jina lia nena
Akuku is in danger jogoo kudishi mentor
Anger kama Magix nitawa Enga
Kalenda sina time ganji kukujenga
Ni Mejja Madtraxx kuzimake
Njoo nikucancel hustle ni mziki na bars
Ziko na muscle OG connection hadi kwake ni ma 4G
Mbuzi ndio rende hadi earphones naeza kugondi
Luku ni fresh usinifananishe soshi
Gondi bonga chafu ni--
Kaka wai kaka nakata maji, kata
Dawa meza tukunywe turudi, sober
Tunywe tena na tena tuzidi Vasha
Tule leo ya jana sidishi, tena
Baikoko zama hadi koko
Ego koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Kaka wai kaka nakata maji, kata
Dawa meza tukunywe turudi, sober
Tunywe tena na tena tuzidi Vasha
Tule leo ya jana sidishi, tena
Baikoko zama hadi koko
Ego koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Watch Video
About Baikoko
More lyrics from Three Wise Goats album
More MBUZI GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl