Happy Birthday Lyrics
Happy Birthday Lyrics by MBUZI GANG
Happy birthday wewe, wee
Tukate maji leo, tukate maji leo
Unywe mpaka ulewe, eeeh
Ni siku yako leo, ni siku yako leo
Happy birthday wewe, wee
Tukate maji leo, tukate maji leo
Unywe mpaka ulewe, eeeh
Ni siku yako leo, ni siku yako leo
Siku ya kuzaliwa ni majaliwa
Unataka tei ama tumwage maziwa
Achilia njiwa na tei utamwagiwa
Nina roho safi mienendo zangu pure
Usijifanye savage keki utatiwa
Dishi iko few so jo mkuje fewer
Liwe liwalo mti jo huwanga cure
Mida ya saa sita shawty analipuliwa
Na niko kej niko zangalewa
Leo ni bash yangu kila mtu pewa
Kila mtu K.O mikono juu ya hewa
Juu ya track marathon mbuzi tumelewa
Happy birthday wewe, wee
Tukate maji leo, tukate maji leo
Unywe mpaka ulewe, eeeh
Ni siku yako leo, ni siku yako leo
Kama una maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia mwagia, mwagia mwagia
Kama una maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia mwagia, mwagia mwagia
Mwaro ali-- sana ye kwenda raw nikazaliwa
Kwetu kuna kabaridi sana, sitaki maji leo kumwagiwa
Ni kuwai njiwa hadi kuku patiwa
Msupa amekam kwa bash tu kukatiwa
Ata ka wanijui pale status nasifiwa
Mzinga ikikatika nikupate zimeshika
Aya sa skiza, usikule food ka unajua utatapika
Sa sa skiza, usikuje bash ka kuromboseana shida
Happy birthday wewe, wee
Tukate maji leo, tukate maji leo
Unywe mpaka ulewe, eeeh
Ni siku yako leo, ni siku yako leo
Happy birthday wewe, wee
Tukate maji leo, tukate maji leo
Unywe mpaka ulewe, eeeh
Ni siku yako leo, ni siku yako leo
Kama una maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia mwagia, mwagia mwagia
Kama una maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia mwagia, mwagia mwagia
Wote kwa hii party wazee tulizaliwa sindio
Mi nataka kuskia let's go
January, February, March, April
Tupige nduru manzee....eeeeh
May, June, July, August
Wapi nduru manzee....eeeh
September, October, November, December
Nduru manzee....eeeh
Wapi nduru manzee....eeeh
Siwaskii wapi nduru manzee....eeeh
Kama una maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia mwagia, mwagia mwagia
Kama una maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia mwagia, mwagia mwagia
Siku yako ya kuzaliwa
Kila mtu apatiwe miwa
Tunaparty hadi kwa njia
Shika msupa we mwagia
One time it's your birthday
Cheza nami gyal kwenye party
Tunarepresent full party
From Monday mpaka Sunday
Make-up imewaka kadress kamefit
Figa namba nane you physically fit
Wallet imebeba dollar na shillings
Kwenye neck tumepiga...
Happy birthday wewe, wee
Tukate maji leo, tukate maji leo
Unywe mpaka ulewe, eeeh
Ni siku yako leo, ni siku yako leo
Watch Video
About Happy Birthday
More MBUZI GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl