Wah Wah Lyrics
Wah Wah Lyrics by MBUZI GANG
Umesota aje, aje na kichwa ina mashilingi
Ka ni mboga aje aje, kuna form si umtaje taje
Ka ni verse unikanje we ni cross wa mwenda zake zake
Utatoa hadi mshande kwa mbosho before nikushanda afande
Mbuzi ndio rende, mziki ndo mboka lazima ni henge
Niko na pembe ju maungo si beef kisenge
Marapper ni wengi walevi bars kushare ni lazima ni common
Ukifinya hivi beat ni hormones
Niko straight lakini ni kombo
Wafuasi wa mbuzi kwa kondoo
Uko high hukubaki kwa condom
Flow illegal nishalipa hongo
Napika nachemsha bongo
Mara dat usharudi kwa udongo
Naeza beba game yote kwa gongo
Hosi si Kairo ni doki
Nina shit huwezi jaza kwa poti
Kiatu toja chupa si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Ati mnatubonga kwetu ni no wahalla
Sa ni usiku usiku shawty anataka dawa yeah
Wah wah wah wah,
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa
Haga ni pillow naskia kulala lala
Wah wah wah wah,
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa
Haga ni pillow naskia kulala lala
Wanataka hio rating siwapi 10
Ni the GOAT na Mbuzi gang
Jeep ya wathii na bado ni Gucci man
Vile -- nikishika pen
Geri ya mafiat magwangi
Kwa mkono matax za rangi
Na nimejitape niki elevate
Wao huniita mahatma bangi
Last year walisema next year huyu kijana hawezi top hizi charts
This year wanafurahi kuniskia
Wanachunisha kwa TV na mamat
Ka ni rap cheki CV na cert
Pull up in the place nimekuja na Passat
Furthermore pia tuna iPhoolish
You never seen a nigga clever like that
Kiatu toja chupa si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Ati mnatubonga kwetu ni no wahalla
Sa ni usiku usiku shawty anataka dawa ayella
Wah wah wah wah
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa (Wah)
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa (Wah)
Haga ni pillow naskia kulala lala (Wah)
Wah wah wah wah
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa (Wah)
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa (Wah)
Haga ni pillow naskia kulala lala (Wah)
Wawawa wawa I was looking at Zazazaza
I was looking around...
Am in a cop with my girl Channel
But am looking at Prada da da
Beside the bitches can't compare
Coz am like no dah dah
Ey cheki cheki cheki
I'm in the game na sichezi
It's cliche when i hop like semi
I be -- fckn low like dredi
Sisemi sisemi who is the best she tell me what
Head on my town like what
Checking ....
Kiatu toja chupa si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Ati mnatubonga kwetu ni no wahalla
Sa ni usiku usiku shawty anataka dawa yeah
Wah wah wah wah,
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa
Haga ni pillow naskia kulala lala
Wah wah wah wah, yeah
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa (Wah)
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa (Wah)
Haga ni pillow naskia kulala lala (Wah)
Wah wah wah wah, yeah
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa (Wah)
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa (Wah)
Haga ni pillow naskia kulala lala (Wah)
Ah Mbuzi ndio rende
I got balls mskende
Ambia ule Dj ka si hasira za panda ye si mgenge
Genje ni mbaya chini ya maji cheki venye nasend waves
Wash wash ishushe ego ndwanzi ah ofcourse not
Please note ukija hizi sides
Ma area door please knock
Kwa pori ni mbuzi, pori we nyani
Nyongwa bitch come slow
Ndani ya Mpasho ka ni ketepa nimekuja na satchet
Na ni urgent nimekuja na news moto unataka nipashe
Show ya sare sare unless kipara itapigwa
kibare
Ukiwasha nare unaeza potea ka account ya Obare
Ngeus ni mare niko na nare imebaki nipate mamali
Washa kikangale umesota aje na opp ni male
Kiatu toja chupa si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Ati mnatubonga kwetu ni no wahalla
Sa ni usiku usiku shawty anataka dawa yeah
Wah wah wah wah
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa (Wah)
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa (Wah)
Haga ni pillow naskia kulala lala (Wah)
Wah wah wah wah
Muite Adamu napendaga Hawa wa wa wa (Wah)
Manzi ni wako lakini anagawa wa wa (Wah)
Haga ni pillow naskia kulala lala (Wah)
Watch Video
About Wah Wah
More lyrics from Three Wise Goats album
More MBUZI GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl