Iskaba Lyrics
Iskaba Lyrics by MBUZI GANG
London London
(Black Market Records)
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Ah pewa kwenye kete, msakate mchechete
Lewa gine nene si twendete teketeke
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Oringo baiyaya, ni kunoma balaa
Aiyaya --
Me ah badder dan dem
We on fire
Sitaki sitaki sitaki mapepere
Niko sherehe DJ kelele
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Ah pewa kwenye kete, msakate mchechete
Lewa gine nene si twendete teketeke
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Ikam Mwai Ikibaki
Sakata rhumba takitaki
Aki ya nani na haki ni money
Victoria na sickets bila Kimani
Amini ya Mungu pekee
Na hapa ukishindwa wanashindwa nekee
Pinda mgongo ni kama gege
Na venye imeshika ni kama ndege
Na mbona mko rada kuna manjege
Eeh kwani kuna manjege
Na venye kuna njeve
Eh kichwa ni makengele
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Ah pewa kwenye kete, msakate mchechete
Lewa gine nene si twendete teketeke
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Salaam aleikum si leo kuchachisha bila ndevu
Pengting one thing jicho pevu
Ju umelewa usijifanye mwerevu
Na usibonge na kifua
Ha nishatua flames unajua
Ile kuchafua nachafua utafuu
Sa nipe tu mammmmh mmmh
Ka coffee tu na njugu gu
Later ni mandurururu
Kasura ni katululu
Sikupei munju ati mmmh mmh...
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete
Ah pewa kwenye kete, msakate mchechete
Lewa gine nene si twendete teketeke
Iskaba iskeredete
Huu msichana umkerebete ah
Watch Video
About Iskaba
More lyrics from Three Wise Goats album
More MBUZI GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl