Ololo Lyrics
...
Ololo Lyrics by MBOSSO
Mr LG
Nimefanya survey
Jiji lako liko salama
Umenitoa hofu mashaka (shulala sholele)
Moyo upo Bombay
Mwili upo dar es salaama
Hisia zimevuka mipaka(shulala sholele)
Raha zimefatizana
Utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana
Zinanisimama nywele
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Oka tafadhali
Usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali
Mi mgonjwa we ndo daktari
Tafadhali
Usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali
Mi mgonjwa we ndo daktari
Olala ololo
Olala ololo ololo
Olala ololo
Olala ololo ololo
Olala ololo
Olala ololo ololo
Olala ololo
Olala ololo ololo
Baby watazama wale
Hawali wakashiba
Wanakesha kuroga tuachane
Kwetu mambo narenare
Raha sio kawaida
Wenye presha na pumu ziwabane
Mapenzi uji wa moto
Puliza mi nikoroge
Kisha nifanye kama mtoto
Unibebe tukaoge
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Oka tafadhali
Usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali
Mi mgonjwa we ndo daktari
Tafadhali
Usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali
Mi mgonjwa we ndo daktari
Olala ololo
Olala ololo ololo
Olala ololo
Olala ololo ololo
Olala ololo
Olala ololo ololo
Olala ololo
Olala ololo ololo
Watch Video
About Ololo
More MBOSSO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl