Forever by MATTAN Lyrics

Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe
Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we

Kwenye ubindu wa imani 
Wengi wanadumu mili maishani
Napenda unipende kwa imani
Msimamo wa kweli usiojaa fatari

Nitapeleka na kutaka nini unataka
Kwa mama tutafika
Na siku ikifika tufunge ndoa mimi nawe
Siku zote niwe nawe

Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata
Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani 
Ndipo nitasimama

Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata
Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani 
Ndipo nitasimama

Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe
Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we
Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe
Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we

Tuishi wote milele
Kwa raha bila kujali kelele zao
Tuwe makini na wale
Kamwe wasije leta ndwele

Nitakupeleka kwa ndugu zangu wa Nyamwanga
Ukapate na ntonga
Na nyumba nitajenga ili uniamini upendo
Toka zamani mi naujenga

Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata
Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani 
Ndipo nitasimama

Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata
Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani 
Ndipo nitasimama

Maa forever, mimi na wewe
Mpaka mwisho wa mimi na we
Na mimi na wee
Thankyou

Music Video
About this Song
Album : Mbona (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 08 , 2020
More Lyrics By MATTAN
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment