Private Lyrics

CYRILL KAMIKAZE Tanzanie | Bongo Flava, Pop

Private Lyrics


Sina muda na hizo kiki niko private
Ata kama mimi ni star niko private
Dili zikitiki niko private
Private

Sina muda na hizo kiki niko private
Ata kama mimi ni star niko private
Dili zikitiki niko private
Private

Mipango yangu yote mimi ni kimya kimya
Kutangaza issue zangu si lazima
Niko private, ata ka nina jina
Bora wanione sana

Wengi wanaishi kwenye ghetto
Bila mitandaoni hawana stunt za kitoto
Uboss lady, uboss man ila uwe msoto 
Na bado kwenye maisha wengi wenu hamja settle

Eeh, kwani kitu gani na shilingi ngapi
Nikisema nitangaze napata kipi?
Maisha yangu haiendeshi kwa kiki
Navyojua tu mimi ni kufanya mziki

Bado na maintain
Yule rapper ambaye anapendwa na madem
Na write solo nawakacha sina team
Issue sio kunifollow, nipe support kunicare

Sina muda na hizo kiki niko private
Ata kama mimi ni star niko private
Dili zikitiki niko private
Private

Sina muda na hizo kiki niko private
Ata kama mimi ni star niko private
Dili zikitiki niko private
Private

Maisha yangu sio lazima yawe interneti
Ili mjue dili zangu zote nilizoseti
Kesho muende mkaniharibie kwa gazeti
Ndio maana nimeamua kuishi maisha private

Wacha wawin marafiki zako za karibu
Wape mipango yako kesho kutwa waharibu
Ukifanikiwa wanasogea taratibu
Watakukimbia ukipata shida na taabu

Sio lazima mimi ku share
Mengine nanyamaza na sitaki mazoea
Niwe vibaya ama vizuri nikahuwezi wewe kujua
Maisha yangu private sana labda nikiwa kwenye tour

Bado na maintain
Yule rapper ambaye anapendwa na madem
Na write solo nawakacha sina team
Issue sio kunifollow, nipe support kunicare

Sina muda na hizo kiki niko private
Ata kama mimi ni star niko private
Dili zikitiki niko private
Private

Sina muda na hizo kiki niko private
Ata kama mimi ni star niko private
Dili zikitiki niko private
Private

Maisha yangu me ni private
Hela zangu pia private
Michongo yangu private

Leave a Comment