Unaware Lyrics by MATATA


Hallelujah situation devine
Hi maneno hainanga design
Bila mabawa  checki uko cloud 9
With the storytrller ehh
Heartbreak piga disguise
Third day hajareply
Call police pigia 99
Matata matata

Unaware
Umenipata unaware
Suruali chini unaware
Umenipata unaware  
Unaware
Umenipata unaware
Suruali chini unaware
Umenipata unaware  unaware

Niko party na ni Friday
Niko sherehe na ni birthday
Na leo siezi taka nuksi inpiate
It’s either my way  ama highway
Na kuna toto ako on my case
Alinicheki akablow some kiss
Nikajua anadai some of this
I’ve been praying for a night like this

Tukadance kidogo tukaflirt kidogo
Tukashika uber hadi baba dogo
Tukicheza rhumba akilamba lolo
Plo lumumba kizungu si kidogo ahh
Mbonda kuna njeve like this?
Mbona mlango wazi like this? ahh ahh
Mbona umenifanya like this?
Mbona umenisanya like this?

Unajua simu ni sumu
Ukishika yangu pressure utapata
Najua unanilaumu
Nakile unachotafuta utakipata
Unajua simu ni sumu
Ukishika yangu pressure utapata
Najua unanilaumu
Nakile unachotafuta utakipata

Unaware
Umenipata unaware
Suruali chini unaware
Umenipata unaware  
Unaware
Umenipata unaware
Suruali chini unaware
Umenipata unaware  

Ka we ni simu bas ungekuwa ka iPhone
Ka mi ni sumu ,mmh ningekuwa ka pithon
Sikupi ring mi hapana mike tyson
Napenda venye si huring ding
Kwenye lights on
Hadithi njoo Utam kolea
Nikam ngojea dem,kutokea
Akanipata unaware
Sai ashakuwa nerea  tulifikaje there
Stress toa na mimea

Roho haina mifupa
Ni rahisi kuivunja mama
Mbona hauna huruma ?
Oh Lord,  
Pressure ndani ya mishipa
Nimekubali nimenyakwa mama yo
Mbona hauna huruma ?
Oh Lord,

Unajua simu ni sumu
Ukishika yangu pressure utapata
Najua unanilaumu
Nakile unachotafuta utakipata
Unajua simu ni sumu
Ukishika yangu pressure utapata
Najua unanilaumu
Nakile unachotafuta utakipata

Unaware
Umenipata unaware
Suruali chini unaware
Umenipata unaware
Unaware
Umenipata unaware
Suruali chini unaware
Umenipata unaware

Watch Video

About Unaware

Album : Unaware (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Oct 08 , 2021

More lyrics from Unaware (EP) album

More MATATA Lyrics

MATATA
MATATA
MATATA
MATATA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl