
Mpishi Lyrics
...
Mpishi Lyrics by MATATA
Leo supper tunakula hadi mpishi bora tushibe
Mwiko refu tunafunga hadi mshipi bora tupike
Ka mbaya buda unaweza gongewa
Hauna mbota na bado timing unatolewa
Bora mpishi juu mpishi bora ashaolewa
Busy but niko easy ganji ikitolewa
Baby don’t touch me there
Baby, don’t touch me there.
Mikono weka juu in the air
Ah me say touch me there
Shuka down low touch me there
Hakuna cha reverse nikisha kanyanga scene
Am always on time
Lagunya zimefit kwa nyonginyo ni magreen
Feeling really high higher
Am feeling best cheki vile naji nice
Am really blessed cheki you cannot deny
Feeling really high higher high higher
Zimenibamba zimefika hadi kwa toes
Usinipe iyo number ka unapeanga kikos
Nilikua nishande nikajipata nimedoz
Seti on a daily hii dawa hii ni dose
Spirit iko so high hauwezi shusha walai
Baby don’t be so shy itisha kenye unadai
Feeling really high ai aiii aaaaiii
Kila kitu alright aaaaiiit
Baby don’t touch me there
Baby, don’t touch me there.
Mikono weka juu in the air
Ah me say touch me there
Shuka down low touch me there
Hakuna cha reverse nikisha kanyanga scene
Am always on time
Lagunya zimefit kwa nyonginyo ni magreen
Feeling really high higher
Am feeling best cheki vile na Jinice
Am really blessed cheki you cannot deny
Feeling really high higher high higher
Anaadai kumedy but mi ndo medicine
Na doba zangu kwake ni therapy
Mzimbiting nakutibu from within
A win is a win nikisha kanyanga scene
Mukhana nice lovely sweet and sexy girl won’t you catch a wine for me
Ah take me back to December ukipuliza kipenga hii mechi we ndo referee
Ah shifura shifura ah shifura ah shifura hapo umeguza murima
Anainama Anainuka atoti deadly deadly
Sudi ka
Hakuna cha reverse nikisha kanyanga scene
Am always on time
Lagunya zimefit kwa nyonginyo ni magreen
Feeling really high higher
Am feeling best cheki vile na Jinice
Am really blessed cheki you cannot deny
Feeling really high higher high higher
Watch Video
About Mpishi
More MATATA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl