
Tiki Tako Lyrics
...
Tiki Tako Lyrics by MATATA
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (beyond)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay)
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (beyond)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay)
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah
Huku tunatibu hadi malaria, kam na geri ah
Hapa kenye hakuna za ukeke na gonorhoea
Alafu tumeseti tuko jaba na ma warria
Ambia humdem ana dera nina chapo anaeza kalia
Ai ai honey, mi huwaga somebody
Leo mi ordinary kesho summer bunny
Ai ai ai honey please come dine na mi
Later zikinice tuache ilale ndani
Nina keys to the city, Give me keys to your kitty
Kiss to infinity nadai round ya pili
Na Usthani nakudai ju ya Nyash that’s a lie
Nasithani umewai juu ya cash another lie
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (beyond)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay)
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (beyond)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay)
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah
Nina swali nani hu motivate ma motivator
Swali
Mbona crockdile si aligator
Swali
Mbona huroll ngwai ma coated paper
Swali
Mbona hupendi kuserereka
Ai ai honey, mi huwaga somebody
Leo mi ordinary kesho summer bunny
Ai ai ai honey please come dine na mi
Later zikinice tuache ilale ndani
Najifanya ni ka siko na mali iko shiko
Nimeshika ma mita so zabe me siko
Akili ni ya 50 ya fifty na rangi ya thao
Mwili ni ya nini ka huwezi ji nao
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (beyond)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay)
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah
Me nataka manzi ako na beads kwa waist
Naskia wanakuwanga freak kwa bed
Me nataka ku find out just incase
Nita settle down niko jaba
Jaba yangu hushika na ka rosta
Ka jasho kanaanza kunitoka
Zina nishow vile nime omoka
Huyu dem me nambeba take away
Atakuwa mteja hadi next week
Ma usiku naskia uki ji DJ
Ukitaka ndakusaidia ku mix
We mpige block alafu give me a kiss
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (beyond)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay)
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah
Watch Video
About Tiki Tako
More MATATA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl