Kawazim Lyrics by BOONDOCKS GANG


Kawazim lyrics - Boondocks gang x Sailors ft Magix Enga

Uuuuh Uuuuh! Eeh enyewe 
Mnakuwanga mmenizoea na hii nduru bana 
Eeh sipigi tena 
Eeeh itabidi muanze kunilipa
Enga ebu cheza hio ngoma bana
Achilia hiyo ngoma bana

(Magix Enga on the Beat)

Yoh, Yoh nimepull up na genge nzima
Ukicheza bare moja kijanaa na utazima
(Ghai woooii sa umenigongea nini?)
Oh skiza beat vile nimekaza hizi kick
Na ukicheza pia dem wako naweza mkaza kama nati

Aah ngoja ngoja kwanza
(Magix Enga kwa nini anaimba na anaproduce sio fair)
Buda hii industry ni yangu
Ukitaka kuhit itabidi ukuje kwangu
Ama ubook a session nikufanyie kangoma
Uhit kidogo hiyo ni fair

Aaiii mi nataka hivi
Kuna vile brain na uchizi zinamix
Aaiii speaker zikikick
Zinakuwanga fiti yaani physically fit
Aaaii haraka kwenye sit 
Ye hudance kama chizi nauongeze...

Kawazim kawazim kawazim hivi
Kawazim kawazim kawazim hivi(Ugoroki)
Kawazim kawazim kawazim hivi
Kawazim kawazim kawazim hivi(Ugoroki)

Niko madu aaai, niko madudu 
Niko madu aaah niko madudu
Niko madu mmmh niko madudu 
Niko madu aaii niko madu

Niko madu aaah, niko madudu 
Niko madu aah aah(Saa ngapi?)

Turorierwo zimeshika ka mukorino
Huku daktari hapa hakuna maombitho
Zina kaa red ako nyanya ako ritho
Mapunyeto hapa ni ka DC
Sheito ka ni ngeus atanideceive
Hana county na mi DC, X video ABCD

Toto wangu wewe
Mi baba yenu, wee
Ikus ka ni ya poko, wee
Labda akuwe virgin, wee
Aliua fisi, wee, sasa torokeni eeh
 
Ni twonire ngari ithatu
Ni twonire ngari ithatu
Ni twonire ngari ithatu
Hindi ya wagoroki

Waru waru waru 
Meza kavu kavu kavu
Supu ya madafu dafu dafu
Niko na date kwa bafu bafu...

Niko madu aaai, niko madudu 
Niko madu aaah niko madudu
Niko madu mmmh niko madudu 
Niko madu aaii niko madu

Niko madu aaah, niko madudu 
Niko madu aah aah(Saa ngapi?)

Odi wa Murang’a ati we ni nunu pokwa du
Lakini mi hupenda paka supper tu
Na nina kaugonjwa ya kuomoka 
Ndugu niko Pepinos naorder muguka zoo

Zimeshika kama toja ikiwa swallow
Niko kotini na koti yangu imejaa mandom
Mi kichwa mbaya mi husupply Al-Qaeda mandom
Na nina riada ya hawa madem wao hunyora kwako Gui

(Na hii sio mbingiji jinga type)

Aaah...
Ngoja ngoja ngoja ngoja ngoja
Ati aaiii nitoe nisitoe, toa
Nitoe nisitoe, toa
Nitoe nisitoe, toa,
Nitoe nisitoe, aii mukorino aaah

No ocio wadhuria, ni gitarariki
Kiumite mutito kwenja kirima
Kerima ya Shiro

Ghai Ghai Ghai...
Huskii ata nilikuwa nadhani ni pekejeng
Ati pekejeng pekejeng

Aaiiyaiyai
Unaskia nini?unaskia venye nimemuingiza
Wewe utaniuwa,, kwani hujawahi kufa
...

 

Watch Video

About Kawazim

Album : Kawazim (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 22 , 2020

More BOONDOCKS GANG Lyrics

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG

Comments ( 1 )

.
4487 2020-03-17 12:26:18

KaliAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl