Wimbo Wa Historia Lyrics

ERIC OMONDI Kenya | Afropop, Folk

Wimbo Wa Historia Lyrics


Wimbo huu ni Wimbo wa historia
Watu wote mnaombwa
Msikize kwa makini
Ilikuwa mwaka wa sabini
Mzee ojwang alipoanza kuigiza ucheshi
Hakukuwa mzee pekee yake
Ilihali alikuwa na wana vitimbi wenzake
Mama kayai, othorong’ong’o
Masanduku, masaku, pamoja na Likobe
Woooooi woooooi ..
Wazee walipitia ili sisi tubarikiwe.
Walter Mung’are, Njuguna na Kiarie
Walikuwa wa kwanza kupanda ndege hadi ulaya
Baba yetu Ndambuti alipokuja
Alitujenya tukasimama na sasa tunasonga
Kina tricky, Chipukeezy, Fred omondi
Teacher Wanjiku, Mzee Jalang’o
Tukaze mwendo tusonge mbele
Wooooo …. Woooooo ooohhh uuhhhh… yeah
Wakenya tuko mbele mabingwa wa Africa

 

ERIC OMONDI (9 lyrics)

Eric Omondi is a stand up comedian from Kenya, born in 1985 in Kondele, Kisumu County.

Leave a Comment