Sexting Lyrics
Sexting Lyrics by MATATA
You are just my internet love
Hatuwezi get intimate love
You trying to connect when I disconnect
Ukiwa offline baby unaniaffect
Mapenzi ya internet
Am talking internet love
You are just my internet love
Hatuwezi get intimate love
You trying to connect when I disconnect
Ukiwa offline baby unaniaffect
Mapenzi ya internet
Am talking internet love
Cyber loving what a bully
Hujui mi ni berdroom bully
Network is buffing toa kipuli
Kaa vizuri ndio mi nikaze misuli
Nakuita na your user-name
Njeri mpenda ngwati oops what a name
Now you blushing what a gem
Ah bundle zimeisha what a shame
Excuse pretty lady won't you wait a while
Coz I have been waiting waiting on you all this time
Never listen to my enemies why lie
Coz he said dat and she say dat he said
Texting texting texting
Zimeshika sasa tuko sexting
Sexting sexting sexting
Arimis imesha kamilisha settings
You are just my internet love
Hatuwezi get intimate love
You trying to connect when I disconnect
Ukiwa offline baby unaniaffect
Mapenzi ya internet
Am talking internet love
Tulikutana kwa mtandao
Live sijawai kukuona
Si ukuje kwangu tuziwashe Leo
Yeah yeah
Na ukinicall kwa video
Siwezi Shika nitavunja boma
But don't you worry we ndio mama yao
Ni Wewe Wewe
Hello hello nataka kuongea na Mariko
Tafadhali dada pigia safaricom
Nani alisema mapenzi ya mtandao haikuagi real
Na video umenipost kwa Instagram zote ni reels
Muder she wrote nadai shiro
Ye ni nyama mi carnivores
I will eat it raw
Wanasema you so dangerous we huvunja roho
Ati you so generous you give to all
Excuse
Excuse pretty lady would you wait some time
You know we not cheating when we text online
Kama unataka miti we should waste no time
Seriously me sina say
Texting texting texting
Zimeshika sasa tuko sexting
Sexting sexting sexting
Arimis imesha kamilisha settings
You are just my internet love
Hatuwezi get intimate love
You trying to connect when I disconnect
Ukiwa offline baby unaniaffect
Mapenzi ya internet
Am talking internet love
Nakucheki uki
Rombosa rombosa rombosa
Kwa tiktok cheza cheza cheza
Kwa insta
Legeza legeza legeza
Kwa inbox
Teleza teleza teleza
Rombosa rombosa rombosa
Cheza cheza cheza
Legeza legeza legeza
Teleza teleza teleza
Watch Video
About Sexting
More MATATA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl