Bazuu Lyrics by WATENDAWILI


Selee loooh saahh
Sahhh yo yo yoh mama, mama

Nilitaka nikupe penzi ya kiasi cha juu
Wewe uka amua uta endea ma bazuu
Sasa nashindwa mama yohhh ni nini ntadu?
Ama juu me sina madoh umeniacha tu?
African Angelina Joline (ooh mama)
Unaniacha juu ya money (don't go mama)
African Angelina Joline mama (yoh mama)
Una niambia me ni mtoiiii

Unataka tu maa.. (Bazu Bazu Bazu)
Unataka ma buda.. ( Bazu Bazu Bazu)
Unataka ma buda.. (Bazu Bazu)
Mamamamamahhh.. (Bazu Bazu)

Unge weza kunipea tu fursa
Kila kitu unahitaji ningekupa
Maisha ya panda shuka we hautaki
Sasa me nategemea tu bahati
Unataka kutengenezewa kucha (kila wiki yoh)
Nywele pia unataka zakutoka abuja (hazifiki no)
Aki benki kweli mimi ntavunjaaa
Shilingi zangu tano ntakupaaa

African Angelina Joline
Usini sare juu ya money
African Angelina Joline
Wacha kusema me ni mtoi

Unataka tu maa..( Bazu Bazu Bazu)
Unapenda ma buda.. (Bazu Bazu Bazu)
Unataka tu ma.... (Bazu Bazu Bazu)
Unapenda ma buda (Bazu Bazu Bazu)
Sina pesa kama ma.. (Bazu Bazu Bazu)
Sina mali kama ma.. (Bazu Bazu Bazu)
Me ni kijana tu bado (Bazu Bazu Bazu)
Sina pesa sina Mali. (Bazu Bazu)

Che cheza
Sema nami Orchestra Watendawili ehh
Ayooooo cheza cheza yohhhh
Ehh papa sunbreeze Manento
Ehh mama sunbreeze merci
Lalala Bazu wanachukua wasichana
Wanaenda nao vijana hamna bahati round hii

Kelxfy

Watch Video

About Bazuu

Album : Bazuu (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Dec 24 , 2021

More WATENDAWILI Lyrics

WATENDAWILI
WATENDAWILI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl