Dar Kugumu Lyrics

MARIOO Tanzanie | Bongo Flava, Afropop

Dar Kugumu Lyrics


(Ah Bah)
Nana nana...

Dar kugumu kweli
Toka nifikie mwaka wa tano ushapita
Ila simaanishi nimefeli honey wangu we
Nana na
Washanikwamishaga matapeli
Maswahibu kibao yashanikuta
Mpaka leo kupona yote kheri
Mpenzi wangu wee

Na tumshukuru maulana aah
Tunapumua tunapumua
Tia maji tia maji sawa
Nilikotoka sio nilipokuwa
Hivi vichange vilivyopatikana aah
Tutakula na tutatanua aah
Tone moja la halali dawa
Kuliko kikubwa cha kukwapua

[CHORUS]
Ila sio mbaya
Ya miguu mitatu bajaji nimenunua
Kiroho mbaya
Chumba kimoja salasala nimeshapaua
Ila sio mbaya
Ya miguu mitatu bajaji nimenunua
Kiroho mbaya
Chumba kimoja salasala nimeshapaua

Funga na vilago vyakoo
Nakungojeea mama
Niko stendi
Aga na jirani zako
Afu nibebee mihogoo nimeimissii
Funga na vilago vyakoo
Nakungojeea mama
Niko stendi
Aga na jirani zako
Afu nibebee mihogoo nimeimissii
 
Basi fanya himaa
Mwenzio nimekumiss
Nimemiss kukuoonaaa
Nawe nambie ulichokimiss
Subira yako imehusika sana kunizalishia
Nikikumbuka nilivokuachaga shidani
Sikuona na budi kuhenyeka
Yashaiva matunda tuje
Kuvuuna aah unanisikii aah
Nishazunguka sana kutafuta utajiri
Bado sijapata aah

[CHORUS]
Ila sio mbaya
Ya miguu mitatu bajaji nimenunua
Kiroho mbaya
Chumba kimoja salasala nimeshapaua
Ila sio mbaya
Ya miguu mitatu bajaji nimenunua
Kiroho mbaya
Chumba kimoja salasala nimeshapaua

Funga na vilago vyakoo
Nakungojeea mama
Niko stendi
Aga na jirani zako
Afu nibebee mihogoo nimeimissii
Funga na vilago vyakoo
Nakungojeea mama
Niko stendi
Aga na jirani zako
Afu nibebee mihogoo nimeimissii

Maisha sio kutafutana
Na muomba Mungu hakosi hata chembe
Nilipambanaaaa sana aah
Hata wewe uvumilie eeh
Kikubwa Imani tuu uu
Nilikuwekee aah

Tujee tulee eeh
Tuuje tuule eeh
Mi na wewe eeh

 

MARIOO (19 lyrics)

Marioo is a Tanzanian singer/songwriter  based in Dar Es Salam. His first single (Dar Kugumu), recorded in 2017, became very popular and hit a number one song almost in all radio stations in Tanzania.

Leave a Comment