2025 ft Stans Lyrics
...
2025 ft Stans Lyrics by MARIOO
Stans oooh
Ai wewe
Uyeehh
Babe niposti
Kwani me si mali yako
Unamuogopa nani
Ai wewe eeh
Babe nichumu
Kwani me si mali yako ooh
Unamuhofia nani
Aiih wewe
Me naona raha
Kama tunawakera ah
Na bila hata kuwagusa
Bila hata kuwasema
Me naona raha
Kama tunawaboa aah
Bila hata kuwaomba
Bila hata kuwagasiii ah
Mungu kaumba dunia ina watu na viatu ah
Kaumba dunia ina vitu na vituko ooh
Mungu kaumba dunia ina watu na viatu uuh
Ila si tunavyopendana wataachana wao tunadunda mpaka
Mbili ishirini na tano (2025)
Mbili ishirini na sita (2026)
Mbili ishirini na saba (2027) ooh
Mbili ishirini na nane (2028)
Tunadunda mpaka mbili ishirini na tisa (2029) ooh
Mbili thelathini (2030) ooh
Ila si tunavyopenda wataachana wao oh
Stans oooh
Eeh
Baby naomba nifanye
Baby naomba nifanye
Nifanye niweke daima mpaka mwisho
Babe naomba niweke
Babe naomba niweke eeh
Ndani ya moyo wako daima
Wale wote wanaojifanya pweza
Wa kutabiri penzi
Mwaka huu tuwachinje
Tunywe chuzi la kuongea nguvu (aaah)
Wale wote wambea, wambea
Watie chumvi penzi
Midomo tuwafumbe
Tupendane waishiwe nguvu (aaah)
Mungu kaumba dunia ina watu na viatu ah
Ila si tunavyopendana wataachana wao
Tunadunda mpaka
Mbili ishirini na tano (2025)
Mbili ishirini na sita (2026)
Mbili ishirini na saba (2027) ooh
Mbili ishirini na nane (2028)
Tunadunda mpaka mbili ishirini na tisa (2029) ooh
Mbili thelathini (2030) ooh
Ila si tunavyopenda wataachana wao ooh
Eeeh iiih
Stans oo oooh
Aaah
Eeeh
Watch Video
About 2025 ft Stans
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl