Bodaboda Lyrics
Bodaboda Lyrics by MABANTU
MABANTU – bodaboda
Bodaboda! Yetu bodaboda
Aah!
Leo tutoke my mama
Ruksa ukipaka kainah
Kwako nishasigner
Nishakufollow ka alivyosema Dayna
Maama moyo wangu kwako
Eeh utaniacha hoi
Ruti bodaboda kijichi
Tukirudi tuzame kwa ndichi
Mtamu ka mboga
Vile ukizungusha unanikoroga
Penzi ng’anga’ ania
Ning’ ang’ anie usiniache
Kitandani hatamia
Mafuta tukipaka mate zile mmh
Ehh unaniacha hoi
[CHORUS]
Bodaboda
Yetu bodaboda
Sina Ferrari mama tutapanda
(Bodaboda)
Yetu (bodaboda) iyeeeh
Bodaboda ayaya aah
(Yetu bodaboda)
Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda
(Bodaboda)
[VERSE 2]
X wangu alikuwa gigy
Na alinipa pa’
Baby nipe zigi zigi
Maama vyote Nilishapata hizo
Mmhh ahh Ziliniacha hoi
She call me bae
Nipe mate Hadharani washangea
Nyuma umebeba nini
Hizo chuchu konzi ama ndio miba nini
We ni wangu wa faida
Name ni wako mpaka ni
Ving’asti usiwape faida ukaruhusu wakapiga aah
Utaniacha hoi
Bodaboda, Yetu bodaboda
Sina Ferrari mama tutapanda
Bodaboda, bodaboda, Yetu bodaboda iye eeh
Bodaboda aahh
Yetu bodaboda iye eeh
X wangu alikuwa gigy
Na alinipa pa’
Baby nipe zigi zigi
Maana moyo wangu kwako
Hum eeh utaniacha hoi
Ruti bodaboda kijichi
(Bodaboda, Yetu bodaboda )
Sina Ferrari mama tutapanda
Bodaboda
Yetu bodaboda iyeeeh
Bodaboda (ayaya aah)
Yetu bodaboda
Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda
Bodaboda
Yetu bodaboda
Watch Video
About Bodaboda
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl