Ndege Nyege Lyrics

ERIC OMONDI Kenya | Bongo Flava, Afropop

Ndege Nyege Lyrics


Funny Boy....eeeh Funny boy
Ehe am really funny

[CHORUS]
Ndege ndege
Akipanda ndege ana nyege
Mmmmh ndege ndege
Ukilipa ndege ana nyege
Ndege ndege
Akipanda ndege ana nyege
Mmmmh ndege ndege
Ukilipa ndege ana nyege

Ukilipa flight
Atakuja bomani
Akupe chochote
Kwa miuno ya taekwondo

Hataki matatu wala bajaji
Na mi nakanyanga, sa ni fanyaje?
Hataki bodaboda na kazi ya nganganga(Chiiii)
Na ametoka ghetto
Amebeba booty (beba booty)
Nikirudi ghetto me nachapa routy (chapa routy)

[CHORUS]
Ndege ndege
Akipanda ndege ana nyenge
Mmmmh ndege ndege
Ukilipa ndege ana nyege

Ndege ndege
Akipanda ndege ana nyenge
Mmmmh ndege ndege
Ukilipa ndege ana nyege

Eeeh msichana mjaluo,akifika Mombasa
Hapendagi ata nguo, hata akishiba anataka
Nipeleke, nikakule njugu teketeke(kongolo)
Kwa makeki, nipe na mifupa tukateme(ndombolo)
Nina mkuki wa masai(oooh masai)
Nitachuna asali(ooooh asali)

[CHORUS]
Eeeeh ndege ndege
Akipanda ndege ana nyenge
Mmmmh ndege ndege
Ukilipa ndege ana nyege

Ndege ndege
Akipanda ndege ana nyege
Mmmmh ndege ndege
Ukilipa ndege ana nyege

 

 

ERIC OMONDI (9 lyrics)

Eric Omondi is a stand up comedian from Kenya, born in 1985 in Kondele, Kisumu County.

Leave a Comment