Uso Wangu Lyrics
Uso Wangu Lyrics by EMMANUEL MGOGO
[CHORUS]
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Siwezi siwezi
Bila wewe, siwezi...
[VERSE 1]
Kuna mahali natamani
Moyo wangu watamanni
Nikae hapo niwe
Niwe hapo daima
Kuna mahali natamani
Moyo wangu watamanni
Nikae hapo niwe
Niwe hapo daima
Mahali hapo kuna raha
Furaha na utoshelevu
Usalama amani vinatawala
Mahali hapo kuna raha
Furaha na utoshelevu
Usalama amani vinatawala
Tena nasikia sauti
Ikiniambia mwanangu
Mahali hapo ni nyumbani
Ulipoumbwa ukae
Tena nasikia sauti
Ikiniambia mwanangu
Mahali hapo ni nyumbani
Ulipoumbwa ukae
Mahali hapo ni pale
Penye uwepo wa mungu
Penye uso wa mungu baba
Mahali hapo ni pale
Penye uwepo wa mungu
Penye uso wa mungu baba
Mwanadamu bila mungu
Huwezi lolote
Hatuwezi lolote
Bila mungu ni hasara
Mwanadamu bila mungu
Huwezi lolote
Hatuwezi lolote
Bila mungu ni hasara
Musa akamwambia mungu
Usituchukue kutoka hapa
Uso wako usipokwenda nasi
Eeh mungu
Maana ni nini
Kitakacho tutofautisha na watu wengine
Ni nini kitakacho tufanya
Tushinde bwana wangu
Maana ni nini
Kitakacho tutofautisha na watu wengine
Ni nini kitakacho tufanya
Tushinde bwana wangu
Nenda nasi mungu
Nenda nasi bwana
Usitutenge na uso wako
Bwana twakuomba
Nenda nasi mungu
Usitutenge na uso wako
Nenda nasi mungu, twakuomba
[CHORUS]
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Siwezi siwezi
Bila wewe, siwezi...
[Verse 2]
Siku moja bila mungu
Bila uwepo wa mungu
Ni sawa na miaka elfu jagwani
Siku moja bila mungu
Bila uwepo wa mungu
Ni sawa na miaka mingi jagwani
Hatua nyingi bila mungu
Maendeleo bila mungu
Mwisho ni aibu ni bure
Usianze wala kwenda bila mungu
Hutafika mbali
Wewe mwite maaana huwezi mwenyewe
Uso wa mungu ukiwa na wewe
Uta kufanikisha we
Uta kushindia, utakuwa juu
Whatever comes in your way
You will overcome it
Because the presence of the lord is with you (hey)
Amesema kila nipatae mimi
Amepata uzima huyo
Na kibali kwa bwana (oooh oooh)
Utapata zaidi ya hekima
Na elimu za dunia
Uso wa mungu ukiwa na wewe
Utakuwa nuru
Tafuta sana kuwa na mungu
Tunza sana uwepo wa mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha
Tafuta sana kuwa na mungu
Tunza sana uwepo wa mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha yako
Ameahidi atakupatia
Ukimwomba lolote
Omba sana uwepo wa mungu maishani mwako (halleluyah)
[CHORUS]
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Siwezi siwezi
Bila wewe, siwezi...
Eeeeh .. Eeeh Aaah
Mmmmmhhhh...
Watch Video
About Uso Wangu
More EMMANUEL MGOGO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl