
Napenda Lyrics
...
Napenda Lyrics by Lony Bway
Oh my God
We lex vanny
Kushachangamka
(Lexvanny)
Aah we si mtu wa gharama
Njoo nikugharamie
Punguza lawama
Nikupe pempe babe
Kua mrembo gharama
Njo nikuhudumie
Usione watu wanavimba mjini
Wana watu waoo
(…)
Njo upendege mchumba
Na mi nataka nionje maumivu ayo
Ah napenda (napenda)
Yani mi napenda (napenda)
Kukuona umependeza (napenda)
Iyo kitu mi napenda (napenda)
Jamani mi napenda (napenda)
Mi napenda (napenda)
Kukuona umependeza (napenda)
Ai wewe ni napenda (napenda)
Penda penda aah
Oh nono
Hata kama sio kikubwa
Utaridhika
Mana mwanake bora ni yule ambae
Anatoshela
Kuna mama nyumbani nae amanitazama
Mana mwanamke bora ni yule ambae
Anamjali na mama
Oyaa masala mavi eeh
Hivi bado mpoo
Mnajua kutumia
Hamtoi hata mia
(…)
Njo upendege mchumba
Na mi nataka nionje maumivu ayo
Ah napenda (napenda)
Yani mi napenda (napenda)
Kukuona umependeza (napenda)
Iyo kitu mi napenda (napenda)
Jamani mi napenda (napenda)
Mi napenda (napenda)
Kukuona umependeza (napenda)
Ai wewe ni napenda (napenda)
Penda penda aah
This time, it’s time
Ooow oooh oo ooh
Watch Video
About Napenda
More Lony Bway Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl