Upepo wa Kisuli Suli Lyrics

BUGANGA Tanzanie | Bongo Flava, Rap

Upepo wa Kisuli Suli Lyrics


Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli

Dada mimi ndio nimefika
Maombi yako yamejibiwa
Si unaona nguvu ya upepo
Imenileta mpaka ulipo

Usinikatae bwana
Kwani hutaki kuolewa
Hata mimi sikupenda 
Nimepeperushwa tu nikaletwa

Sijakutuma ukaombewe
Ni lazima unikubalie
Hata mimi sikupendi
Ndio sasa sina jinsi 

Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli

Upepo una nguvu sana
Umenifikisha bila kupenda
Lakini si sawa bwana
Hebu nipatie namba

Ninajua umeombewa
Sio mpaka nikupe hela
Habati unaichezea
Kubali bila kuchelewa

Sijakutuma ukaombewe
Ni lazima unikubalie
Hata mimi sikupendi
Ndio sasa sina jinsi 

Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli
Nimeletwa na upepo, upepo wa kisulisuli

BUGANGA (1 lyric)

Buganga Ntemi aka Buganga is an artist/comedian/actor  from Tanzania.

Leave a Comment