KUSAH Sijawahi Pendwa cover image

Sijawahi Pendwa Lyrics

Sijawahi Pendwa Lyrics by KUSAH


Penzi letu litabaki kuwa stori
Sio leo mpaka kesho
Utamu kama limemwagiwa asali
Sio leo mpaka kesho

Maneno neno tuyafanye yawe stori
Sio leo mpaka kesho
Mi nawe hatuachani hasirani
Sio leo mpaka kesho

Nitunzie, 
Penzi langu wasidokoe wale
Nihifadhie, 
Chakula changu mi nikirudi nile

Kwako mimi ni mpofu siwezi pona
Taabani mi naumwa nina homa
Ukiondoka nitakufa siwezi pona
Mbeiby

Tulipitia visanga
Nyumba zenyewe hizi za kupanga panga
Yale yalikuwa majanga 
Mlo mmoja ndani na tuna kichanga

Beiby, sijawahi pendwa hivi
Mimi sijawahi pendwa hivi
Oooh sijawahi pendwa hivi
Mimi sijawahi pendwa hivi

Mmmh sijawahi pendwa hivi
Mmmh sijawahi pendwa hivi
Naapa ooh sijawahi pendwa hivi
Oooh beiby mimi sijawahi pendwa hivi

Cha kushangaza umejaliwa na huringi
Hushindani nao mama huna ligi
Umebarikiwa hilo sipingi
Kama wewe hakuna

We umenitoa chongo
Umenipa michongo
Siongei uwongo huo

Maana hata kabla yako
Alijiweka kando
Hawakujali moyo huo 

Mwenzako kwenye mapenzi
Nilikuwaga fala wee(Wewe)
Kuumizwa na kutendwa 
Kwangu ilikuwa sawa wewe(Wewe)

Kwako mimi ni mpofu siwezi pona
Taabani mi naumwa nina homa
Ukiondoka nitakufa siwezi pona
Mbeiby

Tulipitia visanga
Nyumba zenyewe hizi za kupanga panga
Yale yalikuwa majanga 
Mlo mmoja ndani na tuna kichanga

Sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)
Oooh sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa(Ooh sijawahi pendwa)

Sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)
Oooh sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)
Mimi sijawahi pendwa hivi(Ooh sijawahi pendwa)

Watch Video

About Sijawahi Pendwa

Album : Sijawahi Pendwa (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 01 , 2019

More KUSAH Lyrics

KUSAH
Aga
KUSAH
KUSAH
KUSAH

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl