
Jirani Lyrics
...
Jirani Lyrics by JAY MELODY
Ooh naaah nanaaah
Eti jay once again
Akipita kwa nje mi nipo kwa dirisha
Namchungulia oh mpaka anafika
Ila sasa hizi habari nilizopata ndo zinanisikitisha
Et naambiwa ame hama kabisa
Ai wee
Nazi sio nazi tui sio tui
Nitamuaona wapi tena hata sijui
Uuuuh nazi sio nazi
Oooh tui sio tui
Nitampata wapi tena hata sijui
Mbele ya macho yangu ametoweka
Simuoni tena jirani
Ooh simuoni tena jirani
Shi, simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Nimemmiss kweli mpaka nataka kulia
Nikikumbuka asubui salam zake akini salimia
Hapa nilipo sielewi
Bora ningeshamwambia
Aondoke akijua ka nampenda tena kwa hisia
Jirani oh uko wapi aah
Aah jirani oh uko wapi aah eeh
Nazi sio nazi tui sio tui
Nitamuaona wapi tena hata sijui
Uuuuh nazi sio nazi
Oooh tui sio tui
Nitampata wapi tena hata sijui
Mbele ya macho yangu ametoweka
Simuoni tena jirani
Ooh simuoni tena jirani
Shi, simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Watch Video
About Jirani
More JAY MELODY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl