On Fire (Nakukunda) Lyrics
On Fire (Nakukunda) Lyrics by KUSAH
Kama ni ndumba baby umenifanya kama punda
Mzigo ninabeba na nadunda naenjoy
Walahy umenifunga mapigo ya moyo yananidunda
Kama ni sindano umenidunga mie hoiji
Sanamu lako likajengwe posta ama
Nienden kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wnione ndondocha ama
Ama nifanyeje jamani lake pombe
Me nimelewa nayumbaa nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya utanielewa
Ila kama hujui ndio umechelewa
Aaahhuuu nakukunda
Your love is on fire
Aaahhuuu nakukunda
Your love is on fire
Kati ya wote hao number moja me nakwambia
Umepita wote hao oooh babe
Thamani yako wee thamani yako zaidi ya rupia
Hawakuwezi hao ooh darling
Na labda nikuambie kwamba me nyoka umenivua gamba
Kwako naanzaje kutamba sasa naazaje baby weee
Na vyenye unanivuta nafsi inanisuta me unanikoshaga
Na kule unanivusha nimeweka nukta me nimefikagaa
Sanamu lako likajengwe posta ama
Niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama
Ama nifanyeje jamani penzi lake pombe
Me nimelewa nayumbaa nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya utanielewa
Ila kama hujui ndio umechelewa
Aaahhuuu nakukunda
Your love is on fire
Aaahhuuu nakukunda
Your love is on fire
Aaahhuuu nakukunda
Your love is on fire
Aaahhuuu nakukunda
Your love is on fire
Watch Video
About On Fire (Nakukunda)
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl