Shamba Lyrics
Shamba Lyrics by KONTAWA
Nilikua natoka bongo naenda Zanzibar
Si unajua kontana ni mtu atari
Kwambali nikaona mrembo yani pisi kali
Nikaamua kumfata nikajaribu zari
Ile kufika nkamwambia
Mambo dada hh akanijibu shwari
Nikamwambia mwenzako huku zanzibar
Nakujaga na gari
Akacheeka
Na kwa jinsi alivyo mzuri nikamsifia
Nikamwambia tuu ukweli na mzimia
Nikaahidi chochote kumpatia
Ata asipoona siku zake ntamtaftia
Basi nikampa story yangu ya gerezani
Kisha nkamwambia ukweli mimi na nani
Mara mtoto akajaa kwenye remani
Akasema tukifika twende forodhani
Demu kisiki ila kontawa nimeng’oa
Kilichobaki kuchometa kuchomoa
Nikampigia shkanda nimwambia
Nimepata kamba kali
Natakaa kufunga ndoaa
Ndoooa ndoa ndoooaa
Nikamuuliza kwenu mjini au kijijini
Akanambia kwetu sisi ni baharini
Haikuniingia akilini
Nikamuuliza baby kwani unamaanisha nini
Akasema yee ni jini ye ni jinih
Ametokea kuniamini niaminih
Anataka kuwa namimi kuwa namimih
Tukaishi baharini baharinih nikaogopa
Eeh, akasema nikikubali awe mpenzii wanguh
Eeh, game ya bongo fleva itakua yangu
Oh na na nan a
Akanambia kabla atuja kwenda kwako anataka kunipima
Akesema atanipa shamba ili anipime kama, najua kulima
Hilo shamba la maajabu
Jamani shaùba la maajabu
Sjaona shamba,oyaa shamba la maajabu
Eti ilo shamba lina majani pembe
Ilo shamba uwezi kuliona kizembe
Ilo shamba kwanka alilimwi na jrmbe
Ilo shamba linalimwa na kiwembe
Ilo shamba linatembea na alina miguu
Uwezi amini ilo shamba linaelea juu
Ilo shamba lina matuta mawili tuu
Moja la viazi na lengine nila vitunguu
Nnapojaribu kutafakali me mwenzenu, nakosa jibu
Sjui nani nimuulize swali uwenda labda, atanipa jibu
Shambaa ilo
Shambaa ilo
Shambaa ilo
Shambaa ilo
Watch Video
About Shamba
More KONTAWA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl