Wasi Wasi Lyrics
Wasi Wasi Lyrics by KING KAKA
Haitaki hasira
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Haitaki hasira
Okay
The ruler is back
Wacha nipange laini
The cognac is conc wacha imange maini
Leo nakata maji zini onyeshe majini
Tako homeless, itaenda na mimi
I’ll fall for you, Kama embaramba
We ni mthick kaa dandaaa
Ebu nishow ulipewa nini na mama
Mama shaki hiyo bam bam
Kiuno ni fillet vile anazitokkaaaa
Sunani chochaaa
Mikono tu mi sio mikono glue
Naweka shida chini natupa
Mikono juu tuna bugia ma beer na makali tuna cheers
Nama sela tuna serebuka
Bila wasi wasi
Navile nina pesa waresh wameweza nachafua meza
Bila wasi wasi
Ufala mistaki nakama ni wangati iyo party huni party
Bila wasi wasi
Nous on a pas des problèmes mais quand on a de l’argent on s’enjaille
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Haitaki hasira
Shingo silver sahunya chini na top maua
Surba mbili ndimu nalamba naua shots
Ni uwamnice usiponishow najua
Natoka east hivyo ndio si ukuwa
Huku ni wapi pombe ni zaidi ya rwabe
Sanif vela safi safi G bag ni ya mathe
Leo zitani runda hadi huko juu highway
Kwa room sitoki kama marashi
Basi katika kama ya challenge tiktok lingala ma time lakini mi uwaga hip hop
Unajifanya hivyo ndio utanifanya
No taxi basi ntakulipia nganya
Tuna bugia ma beer na makali tuna cheers
Nama sela tuna serebuka
Bila wasi wasi
Navile nina pesa waresh wameweza nachafua meza
Bila wasi wasi
Ufala mistaki nakama ni wangati iyo party huni party
Bila wasi wasi
Nous on a pas des problèmes mais quand on a de l’argent on s’enjaille
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Bila wasi wasi
Haitaki hasira
Watch Video
About Wasi Wasi
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl