Uko Lyrics
Uko Lyrics by KING KAKA
Hallo Mbithi uko pande gani?
Uko keja ndani ama uko ukambani?
Nishow plani gani ndio nichuje manzi flani
Tukutane sahii ama tumeet magizani?
Magizani itaweza hakuna presha
Piga moja basi leo ni kutesa
Nishapiga ishaweza nimeicheza
We nipe ratiba vile utakula hii pesa
Naskia kuna waresh wapoa Westy
Wale wako sura mawe hawawezi
We wacha bana kwanza vile ulinyonji uliwateki
Niko na mapicha kwa tenje si nilikucheki
Uko west? Uko wapi
Uko na who? Uko na nani?
Uko, uko, uko, uko...
Uko west? Uko wapi
Uko na who? Uko na nani?
Uko, uko, uko, uko
(Aki umeniweka uko wapi?)
Enyewe cover the face na unablow the base
Sahau hiyo stori buda past tense
Kwa ground vitu different huwezi jidefend
Naskia ulisele wee wachaga kupretend
Hebu harakisha kuna ma appointee walee
Yule boy wa majaba madem wana madiaba
Leo nakata maji si unajua mi ni mkamba
Utanipata by the speaker madem wanapita
Eish is that Vera Sidika?
Ndio tumefika wewe zako zishashika
Ako na Otile Dubs ndio anazishika shika
Uko west? Uko wapi
Uko na who? Uko na nani?
Uko, uko, uko, uko...
Uko west? Uko wapi
Uko na who? Uko na nani?
Uko, uko, uko, uko
(Aki umeniweka uko wapi?)
Kuna waru mi nadai kuchipo
Vile ako solo si ni kama kako single
Na nalola meza yao ni ka iko empty
Waiter hebu mrushie ka Remmy
Remmy on the rocks lazima aingie box
Leo lazima nitoe mpaka doh iko kwa socks
Lakini we Mbithi hii thao ni ya tene
Unataka tubabwe tulale kwa stenje?
Niko na bahati amenilike anaitwa Diana
Na story ya chali? Si amedai hana
Tap kwa sholder wololo
Dem ameunga ye huenda gym Ololo
Na si amedress ka chali na
Juu tight dress
Akadai what you doing with my girlfriend?
(Ohoooo)
Uko west? Uko wapi
Uko na who? Uko na nani?
Uko, uko, uko, uko...
Uko west? Uko wapi
Uko na who? Uko na nani?
Uko, uko, uko, uko
Watch Video
About Uko
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl