King Kaka partners with USAID to release "Mbekse" a peace song on 21st September 2020. ...

Mbekse Lyrics by KING KAKA


Ka ni mbaya ni mbaya!

(Kaka Empire is the lifestyle)
Bern Music!

Okay King Kaka
No restrictions buda
Karibu huku kwetu
Ka huelewi lugha 
Acha peace i-prevail

Tu tafuna more than they can chew
Kama ni jikoni napika tu
Gunshot ninawika tu
PSA kwa speaker tu

Sio lazima zusha
Pia inaweza praise tu
Ka ni kupigwa butwa
Destiny delayed tu

Sina noma guess what?
The pen is mighter than the sword
Basi make peace no talk
Niwanyita uguo

Nishaona, nishaona noma ni mbaya
Niko mbele, niko mbele cease fire
Lini vita, lini vita itaretire
Ka ni mbaya ni mbaya, mbaya ni mbaya

Wacha chachisha, rada chafu safisha
Wacha lalisha, oya peace inabisha
Toka kwa giza, si unajua value maisha
Kwani nani unatisha? Hivyo ndo verse inaisha

Sina time ya chuki I got the love
Mtaani amani I got the love
Acha niseme tu sai
Peace and love in the sky

Sina time ya chuki I got the love
Mtaani amani I got the love
Acha niseme tu sai
Peace and love in the sky

Vidole mbekse in the sky
Mbekse in the sky
Vidole mbekse in the sky
Mbekse in the sky

Vidole mbekse in the sky
Mbekse in the sky
Vidole mbekse in the sky
Mbekse in the sky

Ka ni mbaya ni mbaya

Watch Video

About Mbekse

Album : Mbekse (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 21 , 2020

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl