Kesi Lyrics by KING KAKA

King Kaka ft Kelechi Africana - Kesi lyrics

Kesi, kesi, kesi
Kesi, kesi, kesi

(Ihaji made it)

Tusikuwe kama Otile na Vera kwa Insta
Ati tukikosana natoa mapicha
Even though presence yako inachachisha
Curves tu ka daro ya mao

Class tu upishi wa limau
Malaika wewe mabawa hadi miguu
Tell me something
How does it feel to be you?

We sio msumari mami --
Usishangae vile of late mi nina bunda
Nika double check ka change ya kunda
Usifiche kidole nishaona pete
Its unfortunate mami you are taken

Wa mtu sumu mke(Oooh nah nah nah)
Basi wazo bora itoke(Oooh nah nah nah)
Naona ka sio fair(Oooh nah nah nah)
Love yangu ikopwe

Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi sipendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi sipendi kesi(Kesi kesi), kesi ke

And I see you online na ye mko happy
Kwa hii hesabu yote niko wapi?
Ata ka nina feelings bado
Ungenishow tu from the word go
Hizo makona tuziwachie Dago
Basi shukisha mzigo ndio roho iwe nyepesi

Trust me hata mi staki tukesi
So basi mami usinipigie
Hata ikiwasha aje usinipigie
(Narudia usinipigie)
Ona unaficha kidole na nishaona pete
Its unfortunate mami you are taken

Wa mtu sumu mke(Oooh nah nah nah)
Basi wazo bora itoke(Oooh nah nah nah)
Naona ka sio fair(Oooh nah nah nah)
Love yangu ikopwe

Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi sipendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi sipendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Oooh kesi!

Yalo ndwele si pite 
Umenipanganisha leo we ni wa mwenzangu
Acha storo wee....
Huenda am the best love kwenye bed
Ila kushare ndo mi siwezi
Acha storo wee....Kesi sitaki

Kesi (Kesi kesi), kesi ke
Mi sipendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi sipendi kesi(Kesi kesi), kesi ke

Naogopa kesi
Kubwa!

Music Video
About this Song
Album : Kesi (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Kaka Empire.
Added By: Huntyr Kelx
Published: Jan 14 , 2020
More Lyrics By KING KAKA
Comments ( 0 )
No Comment yet