Hallo Lyrics
Hallo Lyrics by KING KAKA
Eeeh Kidum Kibido na King Kaka
(Kaka Empire is the lifestyle)
Mtoto kitu, mtoto kitu
Kitu kabisa (Bern Music)
Unajifanya hunioni
Nikiwa tu unameza mate
Unanitesa, kwa kusoma unatisha hisia zangu
Nimepatiwa namba yako
Ili niweze kukueleza
Hisia zangu kukuhusu wewe mami
Kama vile mtu akifutwa kazi
Anakata tamaa na kupoteza matumaini
Jaribu basi, kuchukua simu zangu
Nikueleze yote yaliyomo moyoni mwangu
Hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo
Ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
[King Kaka]
Nitahang in there kama ataniboo
Kawia kushika ina ni turn me on
Ka sio milele nipe cameo
Siasa tuwache maa shika phone
Jua miguu zako daily zinanimove
Kuna vile maa unanido
Bora hujaniblock najua tuko idhaa
With you, me, plus you ni one
Roho umeipiga ku deter
Aki siku nitakunyita
Nitakupenda hadi tuletwe kwa news
Youtube channel hadi tupate maviews
Hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo
Ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
[King Kaka]
Okay, ulimi iko na limau
Niko ready for talks
Ushaiona goli ameshika handi kwa box
Ama niwache nipite ka Degea
Wengi wakikusumbua kwangu legea
Ma-blueticks najua umesoma
Mtoto kitu pia amesoma
Ukikosa kushika najipea excuses
On your behalf
Ata iwe aje siwezi sema deuces
Ndo nani akuhave
Jiko ni ndogo, inatoa supu kwa njeve
No kakitu but nataka kitu na wewe
Hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo, chukua tu simu zangu
Hallo, sina ubaya nisikie
Hallo, ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Baby hallo
Ni kukupenda tu
Kunanizungusha kichwa
Watch Video
About Hallo
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl