Don't Call Me Lyrics
Don't Call Me Lyrics by KING KAKA
Kama si pesa ukatili buda
Don't call me
Kama ni mradi haina doh
Don't call me
Kama ni ufala sina time buda
Don't call me
Kama si pesa, kama si pesa
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Buda don't call me, don't call me
Si jasho imwagike na ninawaks
Naekea bidiii
Business ni pesa
Feelings pelekea bibi
Please usiniombe doh
Tutaharibu urafiki believe me
Italeta unafiki
Hustle gang kabla niende
Juu juu kwa baba
Maboy wangu backleft
Wako juu juu ya jaba
Ukigusa pesa yangu buda nitakutendea
Kama sio biz buda bado tembea
Bible inasema I'll prepare
Table waone nikidishi
Rappers wako down
Anamake moves zile mi nawish
Kwa public maselfie, kwa DM matusi
No wonder pesa hubring jealousy na chuki
Kama si pesa ukatili buda
Don't call me
Kama ni mradi haina doh
Don't call me
Kama ni ufala sina time buda
Don't call me
Kama si pesa, kama si pesa
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Buda don't call me, don't call me
Na vile nahold notes utadhani niko choir
Acha pesa iongee usidhani niko queit
Mkono iko na paper caps utadhani ni ya mjengo
Hapo nje ya bank ndo nawekaga mtego
Another one
Khalid anajua Kaka ako na key
Energy ni ya servant na jina ni ya king
Hii sio biz namba mteja
Siku hizi league buda major
Chinku nipe moja keja
Alafu cheque pewa
Saa nilikuwa na dondo
Kichwa ilikuwa na cornrows
4 days in a row bro
Inahitaji raho jo
Na hizi sio ma low blow
Wanajua unadeal na top shatta
Bado hauongei pesa, buda shut up
Kama si pesa ukatili buda
Don't call me
Kama ni mradi haina doh
Don't call me
Kama ni ufala sina time buda
Don't call me
Kama si pesa, kama si pesa
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Buda don't call me, don't call me
Watch Video
About Don't Call Me
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl