Uliskia Wapi Lyrics by KILUNDEEZY


Sai, yeah sai
Sai, yeah sai

Party imejaa madem wako tu na magwado
Mamorio wamedunga mangoto ka za Quavo
Energy wanadunga kwa Best ni kama ya Yego na
Bill ni kali sema dico

Na nimekam na mangeus wanapenda party
Leo nina magwabo sema nina maganji
Nina kilili kuja na mamanzi
Na kama hauna ganji kalale tafadhali

Kama unauliza ka naeza washa kingine my guy
Nawasha saa hii
Kama unauliza ka Konyagi mbili zitaweza my guy
Agiza saa hii

Kama ni ngori ni ngori
Hakuna charger weza my guy ishia sai
Ruka juu taxin na makali na kavela
Changanya saa hii 

Ati lipua kijaba, kijaba
Lipua kijaba, kijaba
Niko ketepa na majani
Leta Konyagi na mangwai

Leo ni kuzama ndani ya pori
Tunasafisha meza na mbogi
Chief anadai morio zimeripoti na
Nina form leo buda niko ngangari

Nimepiga looku leo nina dungaree
Nina syke utadhani mi ni binary
Nachapa chapa ka asenali kwa finaly
Game ni game si unajua mi ni hatari

Kama unauliza ka naeza washa kingine my guy
Nawasha saa hii
Kama unauliza ka Konyagi mbili zitaweza my guy
Agiza saa hii

Kama ni ngori ni ngori
Hakuna charger weza my guy ishia sai
Ruka juu taxin na makali na kavela
Changanya saa hii 

Ju we uliskia wapi, niliacha pombe
We uliskia wapi?
We uliskia wapi, Chelsea wana win
We uliskia wapi?

Ati we uliskia wapi, niliacha tei
We uliskia wapi?
Ati we uliskia wapi, Chelsea wana win
We uliskia wapi?

Nangoja nicheze juu ya ngwai wacha upuzi nani
Nilisemanga hapa na ikus ni punani
Ati ye ni Yahoo Boy anaweza turi Lavi
Alafu Monday anaamkia sandles za Gucci wathii

Amechongoa huku watu mtaani na ni mtrustworthy
Na juzi alikuwa kuisambaza huko Kaskazini
Na ka huamini cheki namba pause ya chini
Na anajiamini attitude ya Idi Amin

Kimwe kiamia ciamia ciothe 
Kimwe kiamia ciamia ciothe 
Kimwe kiamia ciamia ciothe 
Kimwe kiamia ciamia ciothe 

Kama unauliza ka naeza washa kingine my guy
Nawasha saa hii
Kama unauliza ka Konyagi mbili zitaweza my guy
Agiza saa hii

Kama ni ngori ni ngori
Hakuna charger weza my guy ishia sai
Ruka juu taxin na makali na kavela
Changanya saa hii 

Watch Video

About Uliskia Wapi

Album : Uliskia Wapi (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 16 , 2021

More KILUNDEEZY Lyrics

KILUNDEEZY
KILUNDEEZY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl