Tofauti (Different) Lyrics
Tofauti (Different) Lyrics by BOUTROSS
I say Mr don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Ni normal msela kuwa different
Uovu wa maneno utapita
I say Mrs don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Mbona waogopa kuwa different
Chuki ni tofauti ya kutishwa
Ushaiambiwa na msee hauwezi ukaweza
Ushaiambiwa na msee hautendi ukatenda
Mindset different talanta haishindi effort
Mawe itakuumiza maneno haiwezi kunja meko
The pressure inakupanda unakashifu hadi matha
Ju flani ako Dubai na flani ako Sankara
Unalilia ukiwa jiji ukicheka mtu wa moshatha
Unasahau kusema asante uliamka after kulala
Shida ni nini?
Shida depression inatamba eey
Tufanye nini
Murder self hate haraka eey
Shida ni nini?
Shida shida kuendaga matanga eey
Tufanye nini
Mola anajua kenye anafanya eey
I say Mr don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Ni normal msela kuwa different
Uovu wa maneno utapita
I say Mrs don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Mbona waogopa kuwa different
Chuki ni tofauti ya kutishwa
Mi si mspecial mi pia nilikuwa na thoughts
Labda ningedu kitu different ju bado sijapop
Then nilianza makali nightlife ikakuwa habit
Nikaanza kusnort same time ninapop
But haikuitwa emptiness ilitolewa na talk
Haikutoa hizo nyoka zilikuwa around zinacrawl
Ilinipeleka deeper deeper deeper kwa darkness
Absence ya reality ikakuwa comfort ya matress
Sai cheki state ni vile Bouty anawalk
Akili niliishinda mi huwacha wanatalk
Niligeuka building nikaangushaga walls
Sai mi ni winner yeah I walk the talk
I say Mr don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Ni normal msela kuwa different
Uovu wa maneno utapita
I say Mrs don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Mbona waogopa kuwa different
Chuki ni tofauti ya kutishwa
I say Mr don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Ni normal msela kuwa different
Uovu wa maneno utapita
I say Mrs don't keep your distance
Fikra ndo itakufanya victim yeah
Mbona waogopa kuwa different
Chuki ni tofauti ya kutishwa
Watch Video
About Tofauti (Different)
More BOUTROSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl