KILUNDEEZY Bomb ya Saddam cover image

Bomb ya Saddam Lyrics

Bomb ya Saddam Lyrics by KILUNDEEZY


Hii si mboko haramu
Hii ni bomb ya Saddamu
Ishapigwa kalamu
Itachezwa hadi kwa karamu

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya Saddam ishalipuka
Imebaki mi na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera Sidika

Kanapenda iyo mboko nikiizika
Unawasha nare hadi kanachizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni thitima

Kadem kanadai kupigwa rada 
Na vile kamejibeba manze kameweza
Mabeste wanadai kanatesa
Kanasakwa kama dhahabu na fedha

Kanapenda nikichafua hiyo meza
Heri nichafue fare nitembee kalesser
Nika odd girl vile kanang'ara
Anafanyaga ning'are kama Papa Wemba

Kwanza cheki vile kanatisha
Zake ni mabao ka Olunga
Kama ni mboko nakapiga 
Ndio maana mi ndio ex wa Lupita

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya Saddam ishalipuka
Imebaki mi na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera Sidika

Kanapenda iyo mboko nikiizika
Unawasha nare hadi kanachizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni thitima

Ngoma kutamba, ngoma kuroria
Leo kumewaka ni madem kurombosa
Sema tu kumbonya ni ule mkamba
Si kukwata waya ni kutingiza nanga

Chiki kashiki kashika hizo madiaba
Tingiza tingiza tingiza pin dem kwa ukuta
Ikizidi sana kadishi kama buta
Digitha digitha hii ni ngoma sio dumba

Bakisha fuliza koro kwenye hiyo dunda
Socks kama kawa kadem kameng'ura
Umechapwa nundu umebaki tu kufura
Kadenywa utadhani uko area za Karura

Nikijam nawageuzia rangi kama tu kinyonga
Chapa ngoma bila fullstop ama coma
Ngoma zangu ni nare kuliko ule Drogba
Na nachill na madem wanapenda kucheza poker

Ngoma zangu zinashika kuliko ata gola
Mtaani nawachanga utadhani mi ni soccer
Kuhama sitasare hadi siku nitaomoka
Kam na mamorio mangoko ni kuchota

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya Saddam ishalipuka
Imebaki mi na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera Sidika

Kanapenda iyo mboko nikiizika
Unawasha nare hadi kanachizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni thitima

Menje imejaa pigia mamorio twende bash
Mamorio wangu wote hupenda kudance dash
Na pia wamejaa utadhani mabro wa gwaash
Kila wikendi si hupenda kuwasha kishash

Kwanza kikuwe kikoro kipuff puff kipass
Dem amechapa siwezi smash mi nina pass
Lakini akuwe brownskin ni lazima nitamgas
Yangu na madem ni ka tu ni curse

But yangu si ya mababi ni ya wale tu maras
Game yangu sio soft ni ya wale tu wa tough
Mimi si Abass lakini bado mimi ni Kubaff
Zimenishika manze leo ni kama zimenyaru

Kama King Kaka leo nakula na adabu
Napenda dem amejibeba ka Kamene Goro
Anapenda poko ju mi hukam na muhogo
Si high class na anapiga tu looku kimangoto
Sisi hukam tu tamasha kuchoma tu photo

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya Saddam ishalipuka
Imebaki mi na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera Sidika

Kanapenda iyo mboko nikiizika
Unawasha nare hadi kanachizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni thitima

Kuna kadem kananithogotha tombo
Na kuna vie kanadai hiyo mboko
Ka -- nichote za mbono
Ni kaside kanadai tu mboto
Kanapendaga tukivuruga kitembo
Kisha nikachome design ya Zzero
Kamejibeba na hakadai bila kunego
Kanapendaga nikiwasha hiyo koro!

Watch Video

About Bomb ya Saddam

Album : Bomb ya Saddam (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 03 , 2019

More KILUNDEEZY Lyrics

KILUNDEEZY
KILUNDEEZY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl