JULIANI Locks to My Socks  cover image

Locks to My Socks Lyrics

Locks to My Socks Lyrics by JULIANI


Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Mi ni mzuri ama mbaya
Inadepend nani unauliza
Wanasoma Bible kusave sura
Hawana future ka si hela

Si ju mko special hype
Wanavisit pyramids hata kama ziko deadly
Hakuna aliye mkalifu
But utaitwa mtukufu ju una kakitu

Love is blind especially coin ikishine
Ningejua your memory 
But niko fit, --
We ni mzuri lakini ukose mazuri
Ju umehang kwa shingo bling ya msalaba
So close, so far

You can call me anything
Yule rasta, yule gangster pastor
Everthing si hio, si hio ama hio

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Uwe bishop, king, queen kwa chess
Kama pong inahitaji a hand 
Kumove from one place
Good friend it seems
Ushaiona mayai ya kuku ikibeba twins

Kuinua Bible juu
Kuirudisha chini mahali uliacha the whole truth
Na go bananas, nakuacha macho nyanya 
Eat the fruit the fruit first

Amekula kiatu nikachoose wacha nimhug tu
Hakuna mwanaume leo uko juu kesho uko tu
Nimekuwa toka zamani uliza Christ nani
Alipiga picha ya last supper 
Watu poze mezani

You can call me anything
Yule rasta, yule gangster pastor
Everthing si hio, si hio ama hio

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Watakurespect ukiwa maiti
Hawa-care wanafeel guilty
Only God ni righteous
Sisi ni students anajaribu
Kuingia Starehe na D plus

Siku ya kwanza mgeni anachinjiwa kuku
Ya pili anaandaliwa chakula ya kuku
Vitu ni rosy only to your kaburi
Binadamu ni ka ovacado 
The day uko exposed to oxygen unaanza kudecay

Who is your master, magoti ukipray
Moshi ukiplay ama ceiling umeangalishana ukislay
Zakayo alikuwa high on trees
Akarealize anaweza kuwa higher akikneel

You can call me anything
Yule rasta, yule gangster pastor
Everthing si hio, si hio ama hio

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 
Mi ni mreal, mi ni ule boy mreal
From my locks to my socks 

Watch Video

About Locks to My Socks

Album : Masterpiece (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 16 , 2021

More JULIANI Lyrics

JULIANI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl