Pakua Lyrics
Pakua Lyrics by JOVIAL
Ngoma inakesha mpake che
Mmmh mpaka che
Tunachekecha chekeche
Mmmh chekeche
Mwendo wa utembe tembete
Mmmh tembete
Wenye roho chafu wapotee
Baby I love you
I love the way you do that to me
Lemme whine it for you
Oooh Baby ooh I love it
I love the way you squeeze me
Lemme ride it for you
Basi baby njoo njoo
Njoo njoo
Nikupe manjoo njoo
Manjoo njoo
Ooh baby njoo njoo
Njoo njoo
Nikupe manjoo
Basi baby njoo njoo njoo
Nikupe manjoo njoo njoo
Ah baby njoo njoo njoo
Nikupe manjoo njoo
Wapenda ndogo ama biggy biggy (Pakua)
Kitandani ama kwa kiti (Pakua)
Kwenye gari ama piki piki (Pakua)
Eeh (Pakua) Oooh (Pakua)
Wapenda ndogo ama biggy biggy (Pakua)
Kitandani ama kwa kiti (Pakua)
Kwenye gari ama piki piki (Pakua)
Eeh (Pakua) Oooh (Pakua)
[Okwonko, aka Mejja]
Ah si umejibeba
Nacheki hizo haga aii ndani ya dera
Ah kwa hizi mitaa mi ndio bazenga
Chorea vitu minor kujia vitu major
Kuja nikupe mutaratara
Nataka twende keja aka kudaradara
Chini ya maji kama hutaki muhathara
Nitakurarua kama simba ya masai mara
Ara nikupate nikuteke
Nitupe lugha hadi ucheke
Nikulambe nikuchape nikuchape
Nikuchape nikuchape nikukuchape
Nikuchape nikuchape hadi unyambe
Excuse me
Hio haga inaniita
Inakaa tamu nitaikula kama mchicha
Kenyamo nitakupa usiku mzima
Hadi ukiniona unaenda kujificha
Hebu njoo
Basi baby njoo njoo njoo
Nikupe manjoo njoo njoo
Aah baby njoo njoo njoo
Nikupe manjoo njoo
Wapenda ndogo ama biggy biggy (Pakua)
Kitandani ama kwa kiti (Pakua)
Kwenye gari ama piki piki (Pakua)
Eeh (Pakua) Oooh (Pakua)
Wapenda ndogo ama biggy biggy (Pakua)
Kitandani ama kwa kiti (Pakua)
Kwenye gari ama piki piki (Pakua)
Eeh (Pakua) Oooh (Pakua)
Haha wananiita sultan mswahili
Jovial walini inaitwaga mziki shutu
Shutu shutu
Ninalewa mnazi, mnazi
Kwako nalewa mnazi
Mmmh nalewa
Watch Video
About Pakua
More JOVIAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl