Unanikosha Lyrics
Unanikosha Lyrics by JOVIAL
Baby zima taa tunapoianza hii sakata
Hapo hapo swadakta, nadata na huba lako
Tumba prakata rhumba chakacha, ai mbambata
Wanichezesha na kwaito
Baby nipe tena, tena
Niwe chachu ya birimbi
Unanibembeleza
Mwakipesi na sheringe
Niite niite hata ki-utani
Jaguar mwenyewe utaniita nani
Maneno yananitoka kinywani
Na sauti ni ya kudeka deka
Niite niite hata ki-utani
Jaguar mwenyewe utaniita nani
Maneno yananitoka kinywani
Na sauti ni ya kudeka deka
Unanikosha roho, unanikosha roho
Unanikosha roho, unanikosha roho
Najijua najijua
Nikipenda wivu unanisumbua
Tena unanishanigundua
Mi kwako najishebedua
Yaani mambo kwako sambamba
Nikiwa nawe niko salama
Kitandani mechi kandanda
Tunacheza kandanda
Niite niite hata ki-utani
Jaguar mwenyewe utaniita nani
Maneno yananitoka kinywani
Na sauti ni ya kudeka deka
Niite niite hata ki-utani
Jaguar mwenyewe utaniita nani
Maneno yananitoka kinywani
Na sauti ni ya kudeka deka
Unanikosha roho, unanikosha roho
Unanikosha roho, unanikosha roho
Watch Video
About Unanikosha
More JOVIAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl