Deejay Lyrics
Deejay Lyrics by JOVIAL
Ninapozubaa
Fikira zako hutenda kichwani mwangu yeah
Kichwani mwangu wee yeiii
Napigwa butwaa
Jinsi ulivyo ziteka hisia zangu(Wee yeii)
Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta
Nicheze kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Kisha tudigi digi
(Nicheze, nicheze nicheze)
Kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Tucheze kama jigi jigi
(Nicheze, nicheze nicheze)
Unaniwasha washa roho
Usinipe kimya kimya nipe zile zako
Mie kwenye floor
Kuja nicheze nawe iyee
Cz boy am on fire uchomi iko juu
Mi nishajimwaya kwa makarafuu, barafu
Ushaniweza wee iye iye iyee
Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta
Mmmh...
Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta
Aaah aah...
Nicheze kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Kisha tudigi digi
(Nicheze, nicheze nicheze)
Kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Tucheze kama jigi jigi
(Nicheze, nicheze nicheze)
(Nichezee, nichezee, nichezee...)
Nicheze kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Kisha tudigi digi
(Nicheze, nicheze nicheze)
Kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Tucheze kama jigi jigi
(Nicheze, nicheze nicheze)
Nichezee
Kama unavyocheza klabu nicheze
Nichezee
Kama unavyocheza klabu nicheze
Nicheze...nicheze...
Watch Video
About Deejay
More JOVIAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl