Pandemic Lyrics
Pandemic Lyrics by KITU SEWER
Dunia ime sambolela
Woo wooo...laiti tunge..
(Shieet..Johnte sai ndo ithaa yako bro)
Cheza kingwangi, cheza kingwangi
Haya .. si unipee hiyo mask basi
Dunia yetu sambolela..
[Kitu Sewer]
Skiza hizo cracks kwa ukuta ikibomoka
Empire mzima ikiporomoka Marcus aliprophesy
Watu watatoroka na hakuna pa kuhepea
Skiza hizo sauti za cracks hiyo ice ikibomoka
Na weather mbaya kwa focus na inakuwa mbaya ka homa
City iko under lockdown, world yenyewe iko autofucus
Ina stagger iko sober ju iko kwa coma
Iko kwa seizure, form yake ni epileptic
Ni pandemic ni size ya epic
In Italy wame-run out of coffins
Unaeza get killed ju ya sneezing out coughing
Ilikuwa ni refugees hawafai kukam open arms
Kwenye border sai ni cruise ships za ma don
Hazipokelewi ju ya homa
City iko under siege
Unaeza uza rim ya taya for a dollar
Itabidi Middle East wame-seize fire waache combat
Na ni anarchy kama gava inaeza release
Ma-monster kutoka jela
Skiza hizo tremor underground ikiporomoka
Uncle Tom anaogopa ju superpower pia wanakopa
Sicknesses haziezi pona
Ju disease imefanya hakuna biz ju ni lockdown
Ju ni world under siege
Economy yenyewe imesota na watoi wenu hawawezi soma
Na hatuwezi ingia kulima bila kitu kwenye stomach
Na kila kitu tulipanda ishavamiwa na ma-locust
Dunia ime sambolela
Woo wooo...laiti tunge.
Dunia yetu sambolela..
[Robah Kalamashaka]
For food niliongea na cook akaongeza kuku
Mtush tumbukiza mguu nadai kudishi good
-- ka inaye coup
Stoki kwa room so naongezea ma Omena
Stock ya hoop supu na mbus tu
Maboot boot wametokea na tools gun na rungu
Kunikosea my heart pistol ni Chrome na Bluemoon
Tunaongea revolution ju tunaongea the truth
Tukiongea na mayouth wanatokea na ku-loot
Plasta duu, nikitokea kama flu
Unapotezwa six foot, na kuomboleza ni marufuku
Uligoteana thru' handshake, jo sai duu
Unatumia mguu plus kubusu ni taboo
Ni kubaya arif wanaongea do or die
Itabidi umeongea na Christ ataongea na Mungu
Get clues uzinote, na make news na ni hot
Ni ka ulitokea ndani ya booth
Jo chorea ju ni world
Watch Video
About Pandemic
More KITU SEWER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl