Bojo Lyrics

JAY MELODY Tanzanie | Bongo Flava,

Bojo Lyrics


Shoroa shemeyi wameniosha mikono
Sinyora mazai mpendwa mshono
Na hata akinuna, inapendeza midomo
Suti na tai, kabambe kwa promo

Kama pweza chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah raha dunia

Kama pweza chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah raha dunia

Iwe bojo
Iwe, ma iwe
Iwe bojo
Iwe

Mami mami
Unanikosha roho
Zile nje ndani
Ulicho nacho

Kama twende juve
Tukazuge zuge
Na mbungani
Tuone koboko

Niimbe tenzi
Kwa hisia ya kudekezana
Utaratibu ikuwe kimoko
Kama tupo mavuroko

Mjeledi huku ndimi zikigusana
Kwa wambeya bonge la dongo
Wacha wajinyongee

Kama pweza chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah raha dunia

Kama pweza chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah raha dunia

Iwe bojo
Iwe, ma iwe
Iwe bojo
Iwe

JAY MELODY (5 lyrics)

 

Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he has the street hustle spirit in him, commonly known as the singer and composer Jay Melody has made is easy for him self in the music industry by being able to portray his street spirit in...

Leave a Comment