Moyo Mweupe Lyrics
Moyo Mweupe Lyrics by JAPHET ZABRON
Nauliza ikiwa kuna mtu
Anaweza kunipa furaha moyoni
Mwingine tena zaidi yako Yesu
Nauliza ikiwa kuna mtu anaweza kunifuta machozi mie
Mwingine tena zaidi yako Yesu
Nauliza ikiwa kuna mtu ata beba maumivu yangu ya moyo
Mwingine tena zaidi yako Yesu
Mtu ukimkosea, vigumu kukusamehe
Ukiomba msamaha pia
Hee vigumu kukuelewa
Upendo wa Yesu unatujenga
Pamoja tufurahi, tupendane
Mungu ni wetu sote
Roho yangu ni nyeupe
Na wala siwachukii
Mi muumini wa wema
Sinaga hata visasi
Roho yangu ni nyeupe
Na wala siwachukii
Mi muumini wa wema
Sinaga hata visasi
Nauliza
Ikiwa kunamtu hunipenda japokuwa nakosa mie
Mwingine tena zaidi yako Yesu
Nauliza mie
Ikiwa kuna mtu hufurahi mafanikio yangu mie
Mwingine tena zaidi yako Yesu
Nauliza
Je kuna mtu aweza kubeba shida zote zangu mie
Mwingine tena zaidi yako Yesu
Kuna watu hufurahi
Mtu anapopitia shida
Hata akifanikiwa
Sijui mbona waumia mioyo
Upendo wa Yesu unatujenga
Pamoja tufurahi, tuisje tupendane
Mungu ni wetu sote
(Roho yangu ni nyeupe) sinaneno mimi Baba
(Na wala siwachukii ) heeh mimi siwachukii
(Mi muumini wa wema
Sinaga hata visasi
Roho yangu ni nyeupe
Na wala siwachukii
Mi muumini wa wema
Sinaga hata visasi )
Upendo wa Yesu unatujenga
Pamoja tufurahi, tuishe tupendane
Mungu ni wetu sote
Watch Video
About Moyo Mweupe
More JAPHET ZABRON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl