Tashtiti Lyrics
Tashtiti Lyrics by RJ THE DJ
RJ the Dj all day baby
Moko
Mwalima tashtiti huba
Ndani ya daraja daraja
Yaani hashkiki sugar
Tamu faraja faraja
Hadi miguu ya saba
Naita malaika waje watulinde
Na baraka za maswahaba
Walopita zitukinge
Oooh beiby
Ile ya jana zidisha kidogo
Oooh beiby
Pilipili mautama kwa uji wa mhogo
Oooh beiby
Wacha wanaochonga sana
Wachambe kwa madoko
Oooh beiby, ooh beiby
Amina, Amina
Na iwe heri Amina
Amina, Amina
Na iwe kweli Amina oooh
Chochote utachosema(Haya)
Siwezi pinga(Haya)
Kwa penzi lako mi kilema(Haya)
Moyo umepinda(Haya)
Chochote utachosema(Haya)
Siwezi pinga(Haya)
Kwa penzi lako mi kilema(Haya)
Moyo umepinda(Haya)
Karibu,
baba wa moyo wangu, uloshikilia
Majibu,
Ya swali la pendo langu, umenipatia
Sema utakula nini
Niko tayari kukupikia
Au ni roast maini
Kidogo wali na vibagya
Pumzika utapochoka
Nisije kuomba dozi
Kanifunda mama kopa
Penzi lataka malezi
Ooh beiby, oooh beiby
Amina, Amina
Na iwe heri Amina
Amina, Amina
Na iwe kweli Amina oooh
Chochote utachosema(Haya)
Siwezi pinga(Haya)
Kwa penzi lako mi kilema(Haya)
Moyo umepinda(Haya)
Chochote utachosema(Haya)
Siwezi pinga(Haya)
Kwa penzi lako mi kilema(Haya)
Moyo umepinda(Haya)
Watch Video
About Tashtiti
More RJ THE DJ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl