Gimme Love Lyrics
Gimme Love Lyrics by BYTAR BEAST
Uliponikabidhi moyo
Nilielewa na kuheshimu sana
Nami nikakupa moyo
Usije ukaniachia laana mama
Mdomo unafikisha neno tu
Mioyo ndio inaongea
Pendo ndilo linakolea
Watatoa macho juu
Drama zao zawaumbia
Si penzi letu linaelea
Hayo tisa kumi tunaendana
Tumeshibana mithili ya vyuma vile tulivyoumana
Since mbali sana tunashare maana
Natakaga puff nikismoke marijuana
Na kusema si ni wawili kama tulivyo
Nikimwambia I love you anajibu hivyo hivyo
Naamini hana danga mi sina mchepuko
Sichezi na mirupo yeah yeah
Oooh baby vile nimekwama na sina la kufanya
Nazidi fall in love with you
Jua likizama nazidi waza sana
The day I'm gonna marry you
Gimme love baby
Nakupenda we pekee
Gimme love baby
Moyo nishakupa na vingine nakuachia wewe
Gimme love baby
Nakupenda we pekee
Gimme love baby
Moyo nishakupa na vingine nakuachia wewe
Chapaa ndo inaongeza chachu ya mapenzi
Tamaa ndo ilo wagombanisha wengi
Mataa ndo yanayotupotezaga stand
Tusipofuata saa ndo hivyo tutapiteza mengi
Mi humble na -- na hata tope hajapaka
Ye ananiona shujaa yaani kabla sijafa
Ye ndo alinifaa kule kwenye ukata
Pumzi kazima zii akinikacha
Hajawai niacha sorrow, yaani ile solo
Au kunidharau hata nikiwa nimechacha
Kwangu yupo loyal ashabwaga moyo
Ila kunituliza she call me papa
Na kusema si ni wawili kama tulivyo
Nikimwambia I love you anajibu hivyo hivyo
Naamini hana danga mi sina mchepuko
Sichezi na mirupo yeah yeah
Oooh baby vile nimekwama na sina la kufanya
Nazidi fall in love with you
Jua likizama nazidi waza sana
The day I'm gonna marry you
Gimme love baby
Nakupenda we pekee
Gimme love baby
Moyo nishakupa na vingine nakuachia wewe
Gimme love baby
Nakupenda we pekee
Gimme love baby
Moyo nishakupa na vingine nakuachia wewe
Ooh yeah
When you reap me my blood is you
Watch Video
About Gimme Love
More BYTAR BEAST Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl